Wanawake wanamaliza sana hela Kwa bodaboda

Wanawake wanamaliza sana hela Kwa bodaboda

nilijua unawashauri watembee kiafya kumbe unalalamikia ela zako[emoji3166]
Mwanamke anakunywa uji wa ulezi wenye "blueband",mtori au supu halafu anashushia na juisi nzito ya embe na parachichi na hataki kutembea afanyishe mwili zoezi na mmeng'enyo upate nafasi.Matokeo yake ni kupata vitambi na magonjwa yatokanayo na aendeshavyo maisha yake.
 
Acha tu. Imefikia hatua mtu akikuona unatembea anahisi huna hela ya bodaboda. Wengine kutembea ni mazoezi na ni hobby lakini utakavyosumbuliwa na watoa lift, huwa hawaamini kama kuna mwanamke anatembea kwa hiari yake. Unawahakikishia kwamba huna shida lakini watakulazimisha wakupe lift. Wanakuambia mtu kama wewe sio wakutembea. Wtf???
Wanawake wenzangu tusipende kukaa kizembe tutembee na kufanya mazoezi ili kuepusha magonjwa. Finale uzeeni, kisukari presha nk. kisikie kwa mwenzio.
 
Naomba nikupe lift sweet heart
 
Unakuta mtu anataka aende sokoni,umbali hauzidi hata dakika 15 anampigia bodaboda aje amfuate na baadae amrudishe

Kutoka kituo cha daladala Hadi home dakika kadhaa tu,wikiend anakuja ghetto kufua nguo([emoji39][emoji39]), unashangaa anakupigia simu 'nimeshafika getini njoo ufungue'..unachungulia dirishani unaona bodaboda anamshusha kisha anachukua buku lake anasepa

Siku hizi Wamekuja na staili ya 'bodaboda wangu'
Anampigia muuza chipsi anamwambia niwekee chipsi Yai kisha funga kuna mtu atafuata,mara bodaboda huyoo analeta mzigo home kisha anachukua chake anaishia zake

Wengine Hadi sokoni hawaendi tena siku hizi.Wanatuma bodaboda wanamaliza kila kitu kisha anafikisha mzigo home

Ukitembea nae mwendo mdogo tu anaweza kukuharibia siku Kwa jinsi atakavyokupandisha hasira.Utasikia 'me nimechoka kutembea bana tupande boda'..unamjibu mbona tumefika Tyr si pale tu,ananuna!!

Bodaboda wanakula hela za wanawake kama wachungaji wa mwendo kasi.
Kwa nini hamna huruma na hela?

Huku tunakoelekea mtakuja kutuambia tuache na bajeti ya bodaboda mezani Kwa mwendo huu mnaoenda nao

Mmekuwa wavivu mno!!
Mbona wanakula hela za wanaume 😄😄hakuna hela ya mwanamke inaliwa hapo, ingekuwa wanalipa wao wasingethubutu kuendekeza huo ujinga
 
Nasikia bodaboda Wana Siri nyingi sn za wanawake
Nyingi mnoo, sie si tunaishi nao, maskani akiwa kakushiba anakupa a,b,c... Kipindi fulani nilikiwa na bodaboda kadhaa, tulikuwa kama famili hivi mixer menu tunapiga pamoja, aisee, wakianza kukupa visa na mikasa ya kazi yao unaishia kucheka na kusikitika kwa wakati mmoja.

Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Acha tu. Imefikia hatua mtu akikuona unatembea anahisi huna hela ya bodaboda. Wengine kutembea ni mazoezi na ni hobby lakini utakavyosumbuliwa na watoa lift, huwa hawaamini kama kuna mwanamke anatembea kwa hiari yake. Unawahakikishia kwamba huna shida lakini watakulazimisha wakupe lift. Wanakuambia mtu kama wewe sio wakutembea. Wtf???
Wanawake wenzangu tusipende kukaa kizembe tutembee na kufanya mazoezi ili kuepusha magonjwa. Finale uzeeni, kisukari presha nk. kisikie kwa mwenzio.
Ndy maana siku hizi unaweza ukapiga nae shoo kimoja Tu,anahema utadhani amepandisha mlima. kutoushughulishisha mwili inachangia

Au nasema uongo cocastic
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom