Mr Beach Boy
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 1,702
- 5,115
- Thread starter
- #21
Sawa mkuušakipigika atarudi mkuu, uwe na subira tu.
Sawa mkuušakipigika atarudi mkuu, uwe na subira tu.
Sawa Sasa nimeamua kutumia akili...hakika Mimi ni kuku maji šPole Mkuu ukiachwa achika tumia akili siyo hisia
šššNawaombea neema kwa mungu wanangu wasije wakawa na akili kama hizi aiseee
Tulia utapata kuku maji mwenzako mjiwoweSawa Sasa nimeamua kutumia akili...hakika Mimi ni kuku maji š
Sawa mkuu, ila natamani kupata Bata mzingaTulia utapata kuku maji mwenzako mjiwowe
HaswaaKuku maji
Na Hilo ndio la msingi. Kuwa na subira mkuu. Muda haujawahi kudanganya. Mwache aende. Atarudi Tu. Tafuta mahala ukapoze machunguakipigika atarudi mkuu, uwe na subira tu.
Akikujibu nitagšKuku maji una uhakika posa ulipeleka kwa wazazi wake au genge la wahuni walijipanga?
Sawa ila yule hawezi kurudi anarudi kwangu kufata Nini? Kwao hela zipo ana uhakika wa ajira, Mimi pangu pakavu atafata Nini??Na Hilo ndio la msingi. Kuwa na subira mkuu. Muda haujawahi kudanganya. Mwache aende. Atarudi Tu. Tafuta mahala ukapoze machungu
Nimejibu tayari nilipeleka kwao barua na posaAkikujibu nitag
Inaniuma mkuu sio rahisi ntampata wapi mwenye kalio kama lile jamani kitu kama Bata mzinga na mm kuku majiWewe ulipatana na mhuni mmoja Tu Acha kujumuisha wanawake wote.
Piga chini tafuta mwanamke mwingine acha kulialia
KUKU-MAJI aka KUKU-WATER aka KICHWA-.....!Nimebadilisha dini ili nimuoe
Nimepeleka kwao posa na barua ya uchumba
Tukagombana kidogo tu, tena sababu ya ugomvi ni yeye ila matokeo yake ameniacha.
Nimejaribu kwenda kwao kuyamaliza nagonga mlango sijafunguliwa...
Naona madilisha yanafunguliwa ila hakuna ishara yoyote.
Nimejaribu kumpigia mama mke nakuta huyu mpenzi wangu ameniblock
Najaribu kumpigia tena baba mkwe nakuta mpenzi wangu ameniblock..
Nakumbuka tukifanya na maagano ya damu, tukakubaliana hatuachani ila ameniacha, sijui kama maagano yatamuathiri.
wakuu..dah wanawake....!!
Jamani matusi kejeli yote ruksa.
Karibuni
Dah mkuu gari sina kwa Sasa.Piga horn mara tatu... wait, haujaenda na GARI?