Wanawake Wana roho ngumu mno

Wanawake Wana roho ngumu mno

Kama ulifikia hatua ya kubadili Dini kilichobaki ni Kabila na Ubini kabisa
 
Nimebadilisha dini ili nimuoe
Nimepeleka kwao posa na barua ya uchumba

Tukagombana kidogo tu, tena sababu ya ugomvi ni yeye ila matokeo yake ameniacha.

Nimejaribu kwenda kwao kuyamaliza nagonga mlango sijafunguliwa...

Naona madilisha yanafunguliwa ila hakuna ishara yoyote.

Nimejaribu kumpigia mama mke nakuta huyu mpenzi wangu ameniblock

Najaribu kumpigia tena baba mkwe nakuta mpenzi wangu ameniblock..

Nakumbuka tukifanya na maagano ya damu, tukakubaliana hatuachani ila ameniacha, sijui kama maagano yatamuathiri.
wakuu..dah wanawake....!!

Jamani matusi kejeli yote ruksa.
Karibuni
Eti umebadili dini, kwahiyo mliamua kuanzisha na dini ya kwenu kabisa.

Mapenzi bhn,
 
If you can't control your own brain and your brain controls you, aisee you're fu*cked.
 
Sasa hapo ukatili wake ni nin??
Ukifanya wewe mwanaume inakua sio ukatili?? haya mambo yapo na hayana jinsia sijui wanawake ni katili au ni wanaume ni katili
Naona kesi za wanawake ni nyingi inamaana wanaume nyie mnaonewagwa tu ni nyinyi tu ndo victim mda wote
Mkuu acha kutia chumvi ktk jeraha bichi tusije kumpoteza kuku maji 😪 #amejiunga team lia lia FC🤣
 
Moja ya kosa kubwa ulilolifanya n kubadilisha dini kwa ajili ya mwanamke , maana yake ulikubali kushuka na kuacha mamlaka yako ya asili ili kumfuata yeye jambo ambalo kwake lilifungulia utawala na amri za namna ya kukuendesha wewe mwenyewe
 
Wanawake wanavyotafuta ndoa kama dhahabu, lazima kuna mtu mwingine kaleta mahari hapo..
 
Wanawake wanavyotafuta ndoa kama dhahabu, lazima kuna mtu mwingine kaleta mahari hapo..
 
Nimebadilisha dini ili nimuoe
Nimepeleka kwao posa na barua ya uchumba

Tukagombana kidogo tu, tena sababu ya ugomvi ni yeye ila matokeo yake ameniacha.

Nimejaribu kwenda kwao kuyamaliza nagonga mlango sijafunguliwa...

Naona madilisha yanafunguliwa ila hakuna ishara yoyote.

Nimejaribu kumpigia mama mke nakuta huyu mpenzi wangu ameniblock

Najaribu kumpigia tena baba mkwe nakuta mpenzi wangu ameniblock..

Nakumbuka tukifanya na maagano ya damu, tukakubaliana hatuachani ila ameniacha, sijui kama maagano yatamuathiri.
wakuu..dah wanawake....!!

Jamani matusi kejeli yote ruksa.
Karibuni
Mtu hawezi kukutukana kwa issue kama hiyo bhana, kwa lipi hasa!

Ila utani waweza kutaniwa vile vile, usijali sana mkuu.

Hapo umewekewa mazingira na mkeo ya kukukomoa, hakuna issue nyingine zaidi ya hiyo.

Usijikatie tamaa mapema na kuanza kukalamika kabla ya issue yenu hamjaimaliza na mwenzako.

Familia zingine hazina maadili, ni wapumbaf kiasi cha kuchukulia mambo kama hayo kitoto toto tu, wapo ndani wanakuchungulia unavyoteseka kugonga milango, wanacheeeka kwa kugonganisha viganja vya mikono yao kwa shauo!

Cha kufanya, tafuta mshenga wako ama best man mhusishe ili awaendee wazazi wake ama apitie kwa ndugu zao ili awafikie na kufikisha maagizo utakayomtuma ili vikao vya usuluhishi vifanyike haraka iwezekanavyo na wakileta za kuleta pitia kwa balozi wao, atawalazimisha kuonekana.

Vikao vya usuluhushi vya ndugu ni vya muhimu, huwa havivukwi, hata mkienda mahakamani kudaiana talaka hicho kipengele mtaulizwa.

Baada ya kikao cha usuluhishi cha familia kushindikana mtasukumwa kwa mwenyekiti wa mtaa.

Kwa mwenyekiti ikishindikana mtaswagwa Katani.

Katani ikishindikana, uelekeo ni ofisi za ustawi wa jamii, ikishindikana hapo kuna fomu flani mtaajaziwa inaitwa fomu #3 kama sikosei, hapo sasa ndiyo mnasonga mahakamani.

Cha kukushauri:
Hatua zote ninazokushauri hapa usije kuivuka hata moja, pia usije kupuuza, sijui kusema: 'aaargh, mi naachana naye, yeye si hataki kurudi', atakuja kukusumbua baadaye huyo.

Mbane usimpe nafasi atoe maamuzi sasa hivi, kama kurudi arudi kama kuachana aamue moja.

Tatizo letu wanaume kulia tuwapo vifuani mwa wanawake hasa ukishakolezwa😁😆😆😜, wewe mpaka kuchanjiana damu kuna penzi la mchezo hapo!

Bado anakupenda huyo, amini maneno yangu, mi ni mzoefu sana wa hizo mambo, hapo kaamua kutikisa kiberiti kuhakiki yale maungamo ambayo huyafanya ukiwa kifuani pake yana uhalisia?

Na anajua kabisa unavyompenda na anavyokuliza, anaona raha unavyohangaika kumtafuta, haulali ukimfuatilia yeye, mchezo!

Akablock kila # unayoweza kuikimbilia wewe kwa msaada na hodi haziitikiwa dadeki.

Pole sana mzee mwenzangu, ndiyo ukubwa huo.
 
Nimebadilisha dini ili nimuoe
Nimepeleka kwao posa na barua ya uchumba

Tukagombana kidogo tu, tena sababu ya ugomvi ni yeye ila matokeo yake ameniacha.

Nimejaribu kwenda kwao kuyamaliza nagonga mlango sijafunguliwa...

Naona madilisha yanafunguliwa ila hakuna ishara yoyote.

Nimejaribu kumpigia mama mke nakuta huyu mpenzi wangu ameniblock

Najaribu kumpigia tena baba mkwe nakuta mpenzi wangu ameniblock..

Nakumbuka tukifanya na maagano ya damu, tukakubaliana hatuachani ila ameniacha, sijui kama maagano yatamuathiri.
wakuu..dah wanawake....!!

Jamani matusi kejeli yote ruksa.
Karibuni
Huna akili
 
wewe jamaa acha ubwege!!!,,,,dunia ishabadilika,,,,,,,kama amekomaa hakutaki,na wewe achana nae!!!"time will tell",,,
 
Back
Top Bottom