Mr Beach Boy
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 1,702
- 5,115
- Thread starter
- #61
Mpaka 30 si atakuwa ameolewa mkuusubiri afikishe 30 mfate rena now anakula ujana

Mkuu daaah😂Huwezi kuwa kuku maji halafu mwanamke asikukimbie, anaogopa unaweza kutaga wakati wowote
Ndiyo maana kaachwa mitini 😂Hili jamaa lijinga
USIOMBE YAKUKUTENdiyo maana kaachwa mitini 😂
Hajamaanisha vile ulivyoamini ila ukiamini ulivyoamini pia sio mbayaSasa hapo ukatili wake ni nin??
Ukifanya wewe mwanaume inakua sio ukatili?? haya mambo yapo na hayana jinsia sijui wanawake ni katili au ni wanaume ni katili
Naona kesi za wanawake ni nyingi inamaana wanaume nyie mnaonewagwa tu ni nyinyi tu ndo victim mda wote
Sawa sawa Kuku maji 🚶🏼♀️USIOMBE YAKUKUTE
Kwani wanawake mnapeleka posa siku hizi?Nimebadilisha dini ili nimuoe
Nimepeleka kwao posa na barua ya uchumba
Tukagombana kidogo tu, tena sababu ya ugomvi ni yeye ila matokeo yake ameniacha.
Nimejaribu kwenda kwao kuyamaliza nagonga mlango sijafunguliwa...
Naona madilisha yanafunguliwa ila hakuna ishara yoyote.
Nimejaribu kumpigia mama mke nakuta huyu mpenzi wangu ameniblock
Najaribu kumpigia tena baba mkwe nakuta mpenzi wangu ameniblock..
Nakumbuka tukifanya na maagano ya damu, tukakubaliana hatuachani ila ameniacha, sijui kama maagano yatamuathiri.
wakuu..dah wanawake....!!
Jamani matusi kejeli yote ruksa.
Karibuni
Nimebadilisha dini ili nimuoe

Aliye kubadilisha dini anatokea dini ya wapenda ndoa na majiniNimebadilisha dini ili nimuoe
Nimepeleka kwao posa na barua ya uchumba
Tukagombana kidogo tu, tena sababu ya ugomvi ni yeye ila matokeo yake ameniacha.
Nimejaribu kwenda kwao kuyamaliza nagonga mlango sijafunguliwa...
Naona madilisha yanafunguliwa ila hakuna ishara yoyote.
Nimejaribu kumpigia mama mke nakuta huyu mpenzi wangu ameniblock
Najaribu kumpigia tena baba mkwe nakuta mpenzi wangu ameniblock..
Nakumbuka tukifanya na maagano ya damu, tukakubaliana hatuachani ila ameniacha, sijui kama maagano yatamuathiri.
wakuu..dah wanawake....!!
Jamani matusi kejeli yote ruksa.
Karibuni
Unauliza? Unatoa comment au unafanya nn mbona hakuna alama za uandishi hpaAliye kubadilisha dini anatokea dini ya wapenda ndoa na majini
Kaficha dini naelewa sana wanawake wa dini fulani ndio wanataka ufanye hivyoUnauliza? Unatoa comment au unafanya nn mbona hakuna alama za uandishi hpa
Hapa ndiyo umetuambia sababu ya unyonge wako.Sawa ila yule hawezi kurudi anarudi kwangu kufata Nini? Kwao hela zipo ana uhakika wa ajira, Mimi pangu pakavu atafata Nini??
Ila nakumbuka tulikubaliana atakae muacha mwenzio yamkute mabaya kwenye maisha yake yote Sasa sijui kama blood covenant inafanya KAZI kweli.
Kwao yaani kwa baba yake na mama yake na ndugu zake?Nilipeleka kwao mkuu
Hapana hawakuwa wakwe wa kukodi ni uhakika sema lolote mkuuKwao yaani kwa baba yake na mama yake na ndugu zake?
Una hakika hawakua wakwe wa kukodi.
SAWA mkuuHapa ndiyo umetuambia sababu ya unyonge wako.
Kakuzidi kipato na mengineyo.
Nimeelewa kwanini ulikuwa tayari kubadili dini kwa ajili yake.
Tutafute pesa jamani.