Mkuu hizi nyuzi Huwa zinanigusa sana, natamani kungekuwa na option ya audio humu tuweke nyuzi za kuongea maana naona huu uwanja wa maandishi haunitoshi kabisa kuchangia madukuduku yangu dhidi ya Hawa viumbe. In short wanawake sio watu bro! Siku mkinikuta naoa au nazungumzia ndoa au true love na mwanamke naomba mniwahi mnipeleke milembe maana ntakuwa nahutaji uangalizi. Siongei Kwa ubaya ila nikiambiwa nioe mbuzi au mwanamke basi nitachagua mbuzi.
Narudia, siku nitakkayotoa Uzi kuhusu mapenzi na maswahubu yake basi mtanitafuta personally mnikodie therapist maana ntajidharirisha sana na kuvunja watu wengi moyo, Hawa viumbe wanawake heeeh! Dadea Yan cna jema kuwahusu.