Tusipangiane nikikupenda natumia hadi majina ya baba na babu yako🤣Kosa la kwanza kubadili dini kisa mwanamke, hata ningekuwa mimi nisingekubali maana ni kama umeshikiwa akili
Sawa shadowPole Sana mkuu
Usifanye chochote mkuu, wanawake wakishaamua kitu Huwa wanaamin wako perfect sana ata uongee niini hawez kukusikiliza, relax feel the pain Kwa siku kkadhaa. Ipo ck utaamka humuwaz kabisa Yan tafuta mamb ya kufanya yakupotezee focus kwake, fanya kazi zako usimpigie Wala kufuatilia chochote coz trust me brother yy huko aliko anajua anachokifanya so usihisi km unakosea saana zipo sababu mbalimbali zinazomfanya mwanamke kuivuruga amani Kwa makusud ila sababu kubwa zaidi ni kurahisisha mission yake dhidi ya wanaume wengine, anafic mgomband ili akikuchunia uhisi ni ugomv but sababu Huwa co hyo kk hapo anahitaji space ambaye hyo space ni muda anaopewa mtu mengine kk, Kwa sasa huna Cha kufanya maana yupo anayeyatia chachu mawazo yake hakuna ktu utafanya Mzee km kutafuta suluhu hatak means anafuta namna yyte ya upatikanaji wa amani we huoni km hzo ni strategical moves bro?Nifanye Nini mkuu
Ida ilianzia kwenye jina unaweza kutaja adi akili ni kuku majiNimebadilisha dini ili nimuoe
Nimepeleka kwao posa na barua ya uchumba
Tukagombana kidogo tu, tena sababu ya ugomvi ni yeye ila matokeo yake ameniacha.
Nimejaribu kwenda kwao kuyamaliza nagonga mlango sijafunguliwa...
Naona madilisha yanafunguliwa ila hakuna ishara yoyote.
Nimejaribu kumpigia mama mke nakuta huyu mpenzi wangu ameniblock
Najaribu kumpigia tena baba mkwe nakuta mpenzi wangu ameniblock..
Nakumbuka tukifanya na maagano ya damu, tukakubaliana hatuachani ila ameniacha, sijui kama maagano yatamuathiri.
wakuu..dah wanawake....!!
Jamani matusi kejeli yote ruksa.
Karibuni
😂😂😂 wacha wee 😂😂 kumbe nayo inaruhusiwaTusipangiane nikikupenda natumia hadi majina ya baba na babu yako🤣
Maamuzi tu😂😂😂 wacha wee 😂😂 kumbe nayo inaruhusiwa
Cha ya maziwa Mala kutoka Murang'a.
Mzigo nyuma anao wa kutosha au hoya hoya tu?Hapana sio mwanamke mweupe
Ni Hoya Hoya tu kawaida Hana furushiMzigo nyuma anao wa kutosha au hoya hoya tu?
ThanksHuna akili
USSR
Mwache akaliwe tu atarudi na akirudi atakuta umeshafanya Reforms za kutosha kuingia kwenye uchaguzi huru na wa hakiNi Hoya Hoya tu kawaida Hana furushi
Sawa mkuu kinaniuma Mimi ndio nimemtoa bikra.Mwache akaliwe tu atarudi na akirudi atakuta umeshafanya Reforms za kutosha kuingia kwenye uchaguzi huru na wa haki
Ndiyo Uamuzi gani huu? 😄😄Maamuzi tu