Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Hapan'shaka unazungumzia urefu wa kwenda chini......naam nikimaanisha ufupi toka sakafuni mpaka kendeni.
 
Kwamba mwanaume akiwa mfupi urefu hukimbilia eneo hilo?
Nafkiri ni ivyo kwa wanaume ambao nimewafaham sijui wengine, tena kama nili
Utakuwa mfupi so unawatetea wafupi wenzako
Binafsi me hupenda wanaume warefu cause naendana nao sababu ya mwili wangu ila wengi wao wanavitu kawaida sana au vidogo kabisaa, kama nilie nae sasa ivi tumeanza relation mwaka jana mwishon nimekutana nae kimwili mara 2 tu na cmtaki tena kitu kama mtoto wa daycare jaman haviendan hata na mwili wake cku ya kwanza nikasema labda sicho nachowaza ni kwa vile tu ni mpya maumbile tofauti mara pili nikagundua kitu cha mtoto mdogo na bado mbahili sasa kila akiomba game nampa excuse nan anataka kuchafuliwa na kashaachwa bado kuambiwa tu
 
Angekuwa na Pesa ungemvumilia eeh?
 
Angekuwa na Pesa ungemvumilia eeh?
labda kidogo ningevumilia mana mwisho wa cku shoo ya maana hamna ila kuna ka mavumba sasa yy hela hatoi, mashine ya kutotoa ya maana hana nisubiri nn sasa kuchafuana tu
 
labda kidogo ningevumilia mana mwisho wa cku shoo ya maana hamna ila kuna ka mavumba sasa yy hela hatoi, mashine ya kutotoa ya maana hana nisubiri nn sasa kuchafuana tu
Ungemshauri kutumia virefusha,,hivyo kumnyanyapaa siyo fresh,
 
nawapenda wafupi wanajua kukunja mwanamke kitandani halafu wepesi kwa kweli wanatreat well, warefu wavivu shombo tupu
 
Kama hela tunaweka pembeni naamini wengi wanapenda warefu maana kwenye hela hata kama hujaoga mwaka mwanamke anavumilia na chochote unachotaka atafanya!!mwanamke ni mtumwa mzuri kwenye Pesa
 
halafu mtoa mada anasahau kuwa mtu kuwa mrefu au mfupi inategemea umemlinganisha na nani.. Juma anaweza kuwa mrefu kwa Asha lakini akawa mfupi kwa Amina.
nilivyokuwa naishi bongo nilikuwa najiona mi mrefu balaa. niliofika kwa obama, kuangalia african americans walivyo, nilijiona mimi kidudu mtu yaani hata sitamanishi. 80% ya watanzania katika standard ya dunia ni wafupi. kuna watu warefu duniani hapa ukiwaangalia na usukuma wangu nilijiona hakika mimi ni andunje tu.
 
==>> Wanaume wafupi
1: HAWANA MVUTO... hiki ni kitu muhimu sana kwa mapenzi...APPEARANCE IS ALL...
2: WANA WIVUUU
3: WANA MANENO MENGIII KAMA WANAWAKE WA SALOON
4: HAWAJIAMINI KABISA...HASA KTK MASWALA YA MAPENZI kwani anajua udhaifu wa umbo lake...hivyo hulinda udhaifu wake kwa kwa maneno mengi ya kujisifiaaa...kumlinda kwa wivuu mkeo...na kujifanya anaweza kila kitu...anavaaa kiatu soli nchi 5 kuongeza urefuuu...

5: HUPENDA KUJISIFIAAA KILA MARA ILI KULINDA UDHAIFU WAKE wa ufupi....

===>> MWANAUME MREFU ndio mpango mzima....
WE TALL MEN huwa hatuongee....TUNAUZIKA TU NATURALLY.....ALAFU POCHI UWE NAYO...THEN UWE KAMA WAIRAQ wa Arusha hivi...kama Ethiopian vile...WANAWAKE UTAWAKIMBIA....wengi hata wana kutaka bure tu kuwapa kampani...wengine unakula bureeee....but WATCH OUT....PIGA MAENDELEO...mapenzi yafuate..not vice versa...
Tanzania hakuna mtu mrefu, labda hashim thabit. sisi wote wafupi tu.
 
mme wangu mrefu,184cm,na wanangu wawili wa kiume wanafuata urefu wa baba yao,haya wenye watoto wa kike karibuni mpiganie kuwa wakwe zangu
ungemalizia na sentensi ya mwisho. umeanza na mume wangu mrefu, watoto wangu warefu..malizia na "k" yangu ndefu kwasababu imesokomezwa sana na uume mrefu wa mume wangu...hapo utakuwa umekamilisha story.
 
Back
Top Bottom