Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

nilivyokuwa naishi bongo nilikuwa najiona mi mrefu balaa. niliofika kwa obama, kuangalia african americans walivyo, nilijiona mimi kidudu mtu yaani hata sitamanishi. 80% ya watanzania katika standard ya dunia ni wafupi. kuna watu warefu duniani hapa ukiwaangalia na usukuma wangu nilijiona hakika mimi ni andunje tu.
Mkuu tatizo lako lishe ya utotoni,,,anyway,,Sisi tunazungumzia wa huku uwani siyo wa huko sebuleni,
 
Umeonae...

Na hili limewafanya wanaume wengi warefu kufail mambo mengi katika maisha, kwa kudhani kuwa kila mtu anawaadmire...
Kwenye interview wanashindwa kirahisi sana na wafupi kwa kudhani urefu wao utawabeba. Lakini kwenye kutafuta ela pia...
Hahahaaa! Mkuu naona mnajifariji na mwenzako IGWE!
 
Naona wanaume warefu tumepondwa sana na wadada ila mimi naona kimoyomoyo bila shaka wanatukubali, wengi wao utawasikia 'mmmmmh! utolu wako tu mimi hoi' kwa hiyo tusibishane bure humu.
 
ungemalizia na sentensi ya mwisho. umeanza na mume wangu mrefu, watoto wangu warefu..malizia na "k" yangu ndefu kwasababu imesokomezwa sana na uume mrefu wa mume wangu...hapo utakuwa umekamilisha story.
jamani,hata sikumbuki kama nilishawahi kukoment kwenye huu uzi
 
Mwanaume mrefu kwako ana raha sana,akikuhug unapotelea on his chest, ukitembea nae njiani,ukiivaa heels huwazi,yani kuna Ile unajiskia so safe n protected coz he's bigger than you..
 
Nafkiri ni ivyo kwa wanaume ambao nimewafaham sijui wengine, tena kama nili

Binafsi me hupenda wanaume warefu cause naendana nao sababu ya mwili wangu ila wengi wao wanavitu kawaida sana au vidogo kabisaa, kama nilie nae sasa ivi tumeanza relation mwaka jana mwishon nimekutana nae kimwili mara 2 tu na cmtaki tena kitu kama mtoto wa daycare jaman haviendan hata na mwili wake cku ya kwanza nikasema labda sicho nachowaza ni kwa vile tu ni mpya maumbile tofauti mara pili nikagundua kitu cha mtoto mdogo na bado mbahili sasa kila akiomba game nampa excuse nan anataka kuchafuliwa na kashaachwa bado kuambiwa tu
Dushelele kubwa lina utamu wake
 
Wera wera weraaaa weraaaa weraaaa,wape wape wape hao
 
Kwa mtazamo wangu. Mimi binti nikiwa na mwanaume mrefu katika hali ya kawaida tu...simaanishi mrefu ngongoti...hapana anipite mimi kidogo huwa najisikia nina ulinzi ukiachilia mbali hayo mambo mengine.
Lakini nimekuja kugundua ni mitazamo tu. Kile unachodhani unaweza pata kwa mtu mrefu kama ulinzi hata mfupi pia anaweza kukulinda. Usiku mwema.
Wafupi msikasirike. Ukiona mtu anakuponda jua wewe si chaguo lake.
 
Kama ni ulinzi tu si uajiri mlinzi best
 
Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume walio warefu. Achilia mbali vitu kama Mshiko(ATM) nk ambavyo vinachangia lakini huwa wanajisikia fahari kuwa na mwanaume mrefu.
kwa ushahidi gani,mbona sie wafupi tunapiga ishu kwa kwenda mbele,?
 
Huwa nacheka sana pale unapokutana na mabinti anakuangalia na kuadmire urefu wako anashindwa tu kusema ana smile. This happens a lot to us tall guys. Tushazoea. I think women are subconsciously programmed to go for tall men for a sense of security, mgegedo na procreation kwa ujumla. Ni kama wadada wanaovutiwa na vile kaka smells. Aidha, wanaume warefu tuko confident sana. We don't really care much, ukiringa wewe atakuja mwingine na mwingine. Women like confident dudes. Mwingine analainika kabisa when you hug her. Wengine ukiwa-hug wanapiga kabisa vimguu juu juu. Hapa ndipo ndugu zetu wafupi wanamind. Other than that nafikiri attraction is a personal choice.
 
Back
Top Bottom