Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Sio urefu Tu
1. Mrefu nweupe
2.Mrefu msomi
3.Mrefu mwenye hela
4.Mrefu asiye mbahili
5.Mrefu Mweusi
6.Mrefu anayejua kugegeda
7. Mrefu charming
8. Mrefu asiye Na wivu
9. Mrefu...............m
10.

In short Wanawake hawaangaliii jambo moja tu. Uwe mrefu na uboreshe sekta nyingine za maisha yako.
Utaishia kuitwa tall tu
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Sio urefu Tu
1. Mrefu nweupe
2.Mrefu msomi
3.Mrefu mwenye hela
4.Mrefu asiye mbahili
5.Mrefu Mweusi
6.Mrefu anayejua kugegeda
7. Mrefu charming
8. Mrefu asiye Na wivu
9. Mrefu...............m
10.

In short Wanawake hawaangaliii jambo moja tu. Uwe mrefu na uboreshe sekta nyingine za maisha yako.
Utaishia kuitwa tall tu
....and the list goes on n' on. No ngumu hasa kujua ni urefu gani wanamaanisha.
 
Urefu, ufupi, weupe, weusi it depends unalinganisha na nani.
..........All we need is Love.................anachotaka mwanamke ni upendo.
For your information, katika kila ndoa 10 kwa sasa hivi, ndoa mbili 2 zina amani. think about it. Chukua hatua. Urefu ufupi weusi weupe it is ok. Just choose what you deserve.
 
Uzuri wa kitu upo kwenye macho ya mtu,ila mi nawakubali wanaume warefu.
 
Wanaume warefu wanajiamin bwana, vifup kila muda vinajshtukia vina infreriority complex, though i av short one 😉
Haaa we akitokea mrefu utachepuka tuu kwa mwendo huo
 
Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume walio warefu. Achilia mbali vitu kama Mshiko(ATM) nk ambavyo vinachangia lakini huwa wanajisikia fahari kuwa na mwanaume mrefu.

falsafa hii sidhani kama ina ukweli,mbona sie ma short wanatufuata vilevile wakati hatuna mkwanja wala nini,hawapendi ule u short kama wa emolo
 
Wao wanasema ndio ugonjwa wao.
Confidence wanayoisema ya wanaume warefu ni kutokana na uhalisia wa kimaumbile kua watu warefu na wanene hujiamnini zaidi.

The bigger the size the more the confidence. Biologically iko hvyo, ona tembo na size yake anavyojiamn tofauti na sungura au fisi.

Kusema ukweli wanawake preference zao zinabadilika kila kukicha. Pesa huongeza kujiamini zaidi, unaweza usiwe na urefu ila ukawa na pesa automatically unakua mrefu.

Mimi ni mrefu ila kama sina pesa confidence hupungua sana. Nikiwa nazo na combination ya size, strength and power najiamn zaidi.
 
Pesa inaweza kukurefusha wewe mfupi, tafuta pesa utakula upendacho.
 
Back
Top Bottom