Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Mbona mim ni Giant lakini sina hata Demu hata yule anayenishokea
 
ss wanaume warefu tunapendwa sana na wadada coz wanajiamini wanapokuwa na ww na hata akiwa na rafiki zake haishi kukusifia.

we are so good in love ndo maana tunapendwa., ... muulize hata dada yako anapenda mwanaume gani then utapata majibu sahihi
 
kiukweli ukiongea na madem wengi wanasema kuwa mwanaume mrefu anavutia sana kwao kwa kuwa wanajiamini, ni wacheshi, pia Wana dushelele zilizo Shiba wanawaridhisha nimeshindwa kuamini kuwa wanaume wafupi ni waoga pia ni wabishi na Wana vibamia hivi Kuna ukwel wowote?
 
Wanawake wenyewe waseme
 
Back
Top Bottom