Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,864
- 155,818
wanaume wafupi hutiana na nani?
Umeonae...
Na hili limewafanya wanaume wengi warefu kufail mambo mengi katika maisha, kwa kudhani kuwa kila mtu anawaadmire...
Kwenye interview wanashindwa kirahisi sana na wafupi kwa kudhani urefu wao utawabeba. Lakini kwenye kutafuta ela pia...
Hawana balance kitandani mamiguu mareeeefuuuuu
mimi nashughulika na mambo ya network!! lol!!!!! ni kweli urefu wa mnara sio wingi wa network lakini urefu wa mnara ni UMBALI WA NETWORK INAPOKWENDA!urefu wa mnara sio wingi wa network bana
hapa mimi mfupi lakini wadada nimeshawachoka
halafu mtoa mada anasahau kuwa mtu kuwa mrefu au mfupi inategemea umemlinganisha na nani.. Juma anaweza kuwa mrefu kwa Asha lakini akawa mfupi kwa Amina.Reference na standards za vipimo vya urefu wa mwanaume vipoje? labda tuanzie hapo kwanza, kwa sababu binadamu hatengenezwi kama bidhaa za viwandani zenye standard za vipimo vinavvyojulikana, na kuwa certified kuwa zimekidhi viwango, kama ISO n.k.
Hawana balance kitandani mamiguu mareeeefuuuuu
Kwanza mamtu marefu hayawezi kwenda round zaidi ya mbili, yakiwa kitandani yanakosa balance na pia huchoka mapema.raha kwa mtu mfupi, atambinua mwanamke kwa staili yeyote na mahali popote, mfano hata kwenye sofa la kukaa mtu mmoja.
Sijui mi mfupi au mrefu . . . . mmmh!Kwa kweli nime-experience wanawake kupenda wanaume warefu, tena akiwa mweupe wa rangi ya ngozi then unajimudu kimaisha ndo balaa zaid, unawashika wadada mpaka basi. Lakin haya yalikuwa kipindi fulan cha nyuma.Ila kwa kizazi cha sasa, wanawake wanapenda wanaume waliojengeka mwili kimazoezi zaidi, na kimo wala sio ishu tena. Huhitaji kabisa kufika futi 6 tena. We piga tizi, tengeneza 6 pak tumboni, kuwa smart na nadhifu, na wakati wa mitoko ile isiyo ya kikazi kama kutembelea rafiki, au ile ya weekend unaweza kuvaa zile nguo za kushika mwili kiasi, kama T - Shirts, then check mambo uone.Nakwambieni hao warefu, sijui white, sijui Em Bii Ooo ndefu wataonekana ka midori tu. Na pia kwa sasa wengi wenye ndoa imara na wanaooa kwa wingi si wanaume warefu. Hapo ndo mtajua wanawake hawababaiki tena na U-Tall wa mwanaume.
Wanawake % kubwa Tz ni wafupi haina ubishi sasa sijui unapoongelea wanaume wafupi unamaana wale wanaolingana urefu na wanawake zao au?Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume walio warefu. Achilia mbali vitu kama Mshiko(ATM) nk ambavyo vinachangia lakini huwa wanajisikia fahari kuwa na mwanaume mrefu
Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume walio warefu. Achilia mbali vitu kama Mshiko(ATM) nk ambavyo vinachangia lakini huwa wanajisikia fahari kuwa na mwanaume mrefu
Huyu jamaa mimi namfahamu. Anafanya PhD ya saikoloji. Anataka kutumia majibu yenu kama CONTROL ya data alizonazo pasipo kutumia hata senti tano kutoka mfukoni mwake. Yaani mapaka sasa hivi ana 90% ya kile alichokuwa anatafuta. Mnaonaje tukimwachia hapa? Sababu majibu aliyopata mpaka sasa anaweza kuandika kurasa 500 kuhusiana na sisi watu wafupi, halafu warefu wao anaweza akawaandikia a maximum of kurasa 5 tu!Hii thread imenisaidia kutambua wanaume warefu na wafupi! Wafupi utawajua tu kwa comments zao.
Huyu jamaa mimi namfahamu. Anafanya PhD ya saikoloji. Anataka kutumia majibu yenu kama CONTROL ya data alizonazo pasipo kutumia hata senti tano kutoka mfukoni mwake. Yaani mapaka sasa hivi ana 90% ya kile alichokuwa anatafuta. Mnaonaje tukimwachia hapa? Sababu majibu aliyopata mpaka sasa anaweza kuandika kurasa 500 kuhusiana na sisi watu wafupi, halafu warefu wao anaweza akawaandikia a maximum of kurasa 5 tu!
Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume walio warefu. Achilia mbali vitu kama Mshiko(ATM) nk ambavyo vinachangia lakini huwa wanajisikia fahari kuwa na mwanaume mrefu
alah, kumbe mnajuana.......................?
lakini sio mbaya mwache aendelee na huo utafiti wake,
ndo faida ya kuwa member kwenye jukwaa hili!!!!!!!
Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume walio warefu. Achilia mbali vitu kama Mshiko(ATM) nk ambavyo vinachangia lakini huwa wanajisikia fahari kuwa na mwanaume mrefu