Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

urefu wa mnara sio wingi wa network bana
hapa mimi mfupi lakini wadada nimeshawachoka
Me katika pitapita zang nimegundua asilimia kubwa ya wanaume warefu wana jinsia fupi na mara nyingi wanaume wafupi wana mitarimbo hatariii sijui kwann
 
Me katika pitapita zang nimegundua asilimia kubwa ya wanaume warefu wana jinsia fupi na mara nyingi wanaume wafupi wana mitarimbo hatariii sijui kwann
Wewe utakuwa mfupi unajifariji tuu
 
Tangu SOKO la wanaume kuwa adimu,wanaume wafupi wana kubalika vizuri tu.Tena hao ndio wao waoaji wengi.Fanya hivi Leo angalia kimo cha aliyevaa Pete ya ndoa!!! Jibu utapata.

Pia watu wafupi hawana Yale matatizo ya ukosefu wa nguvu za kiume, Na ushoga. Angalia mashoga wengi ni warefu.
 
Sina uhakika na usemayooo
 
Wewe utakuwa mfupi unajifariji tuu
Hahaha kwanza me mtoto wa kike na sio mfupi nachosema ni baada ya pitapita zangu za upwagu na upwaguz kwa wanaume warefu na wafup baab
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Wanaume warefu wana muonekano mzuri. Pia kina dada wanajiona wako secured wanapoongozana na mtu mrefu tofauti wakiongozana na mtu mfupi.
Pia wengi wa watu warefu hawana inferiority complex kama walivyo watu wafupi.
vp we ni mrefu mkuu?
 
Hawana balance kitandani mamiguu mareeeefuuuuu
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hahaha kwanza me mtoto wa kike na sio mfupi nachosema ni baada ya pitapita zangu za upwagu na upwaguz kwa wanaume warefu na wafup baab
Utakuwa mfupi so unawatetea wafupi wenzako
 
Urefu raha sana,,,nakumbuka weekend moja maeneo ya ufukweni Dada mmoja mrembo aliniomba tukaoge wote,,,,nilimbeba mgongoni na kuenjoy pamoja hakika alikiri kuenjoy,,Kwa kweli huniomba ikiwezekana kila weekend nijumuike naye pande za kubarizi,,,
 
Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume walio warefu. Achilia mbali vitu kama Mshiko(ATM) nk ambavyo vinachangia lakini huwa wanajisikia fahari kuwa na mwanaume mrefu.

Sikatai mkuu mtoa mada, nakubaliana na wewe % Mia

Maana Hata mimi nina urefu uliotukuka ila ninavyosumbuliwa na wadada hapa kitaani kwetu uwiiiiì

Yaani dah nawagegeda kwa kweli

Sina hata hela ila mrefu na mgegedo wangu ni shiiiida ukithubutu kukutwa na bwana T 1990 ELY
 
mbona avatar inaonyesha we mfupi? au ni ya zamani?
 
Pia uhusiano ni mkubwa wa kuwa na uume mrefu, wadada hupenda uume mrefu, i am sooo tallllll, ni kweli kabisa
Sio lazima, wapo wanaume warefu lkn wana uume wa wastani. Aliyekwambia uume mrefu ni deal ni nani?
 
Back
Top Bottom