miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
..Urefu wakitu gani unao takiwa?
urefu wa mwili hata kama unakibamia amna shida kabisa...
..Urefu wakitu gani unao takiwa?
ungesema mapema ningeku pm
Nalijua Hilo Shansarie, ila ni ngumu kujua Kama mtu amekuzimia Kama ulivyo au ni profile yako.
hahahahahah! ni kweli shosti...yaani hata ktk mkusanyiko tu wa watu wakiwa wamesimama, ukiangalia kha! utataka kulia! wenzetu hawa kwa ufupi wamejaaliwa aisee......hahahahahahaha halafu naona hii thread imewagusa mno naona wapo KIMYA!!!!!!Sijui hawajaiona au basi tu? hahahaha msitumeze jamani mbona nyie mnatupondaga humu na si tunakomaa nanyi tu..hhahahahahahah!!!!!!ngoja waje wafupi wabishi wenyewe uone watakavyotoka mapovu humu!!!!
et eeh..vizur.,thatha tuje kwe urefu mwingine..pochi je urefuwake ukoje..?
hii thread TAMU SANA! wahusika KIMYAAAAAAA!!!!!!! hhahahahahahah.....yaani ataketoka povu tu hapa na kuanza kubisha, basi yeye ni mfupi!
Yaani nibandike picha hapa! Tinna cute tuwasiliane kwa pm, lol.
hii thread TAMU SANA! wahusika KIMYAAAAAAA!!!!!!! hhahahahahahah.....yaani ataketoka povu tu hapa na kuanza kubisha, basi yeye ni mfupi!
Hapa mia mia, mi sisubiri mwisho wa mwezi mama. Sema kingine…
Huwa sipendi majigambo ila labda nikufahamishe kidogo, Nina elimu ya kutosha sana, Nina kazi nzuri thank god, na sipo bongo, ni sehemu ninayoishi hakuna wadada kutoka bongo! Above all nisingependa kupendwa kwasabab ya elimu yangu au kipato changu, urefu wala u handsome wangu @ Shansarie.
Hahaaaa dah naomba nicheke tu...
Vitu vitatu wanavyopenda wanawake:-
1. Pesa
2.Pesa
3.Pesa
Urefu au ufupi sio hoja, mm mwenyewe mrefu na sijawahiona mwanamke ananiambia your sexiest mpaka nitoe pesa.. Over!!!!!!!!!!