Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

the opposite is true! Mwanamke mwenye mvuto ni yule asiye mrefu! Au wanamme mnasemaje, tufarijiane jamani au?
 
huo urefu uendane na mwili pia. maana waweza kuwa mrefu then huna mvuto!
 
Andunje na mkwanja mrefu ni dili pia kwa wanawake kuliko hata huyo mrefu na mkwanja mfupi.
 
Si uangalie hiyo heading?. Tunazungumza wanaume kuwa na mvuto kwa ladies and am 167cm sasa nauliza kama na hiyo ina mvuto?
 
Lakini kuna ka-ukweli kuna demu aliniambia, aliamua kuolewa na mwanamme mfupi kwa sababu alikosa mrefu.
Means her first choice alikuwa mwanamme mrefu kaona muda unaenda isijeikala kwake akitafuta mrefu.
Kwa wale wanaume wafupi kama Andunje unaoa demu sio kwa sbb unapendwa ni kwa sbb plan A imeshindikana. Over!!!!
 
kama ulivyosema wewe kwani twabisha hapo bestito
Wakuu ktk pitapita zangu za kila siku nakutana na minong'ono kuwa wanaume warefu wana mvuto mkubwa kwa wanawake tofauti na wenzao wafupi. hii nimeisikia kwa baadhi ya wanaume wakikiri kuwa wanaume warefu wanakubalika kirahisi kwa wanawake, basi nikajaribu upande wa pili nisikie wenyewe wanachosema, wengi wamekiri kuwa wanaume warefu wana mvuto sana ila tatizo ni mila na desturi za kwetu haziruhusu mwanamke kumtongoza mwanaume, mwingine akaniambpga kuwa wanaume warefu wengi wao wana confidence na wanajikubali sana, wapo wengi tu wanaokubali kuwa wanaume warefu wanakuwa ni wend mvuto, sasa wanawake wa jf na nyie mnasemaje??
 
me i love my ka-shotii jamani especially kinavyonipandia kama ngazi, and the fact that i own his ATM cards :smile-big:
 
Back
Top Bottom