Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

...hahahahahha hii mada imenivunja mbavu.....ni kweli hata mie nawakubali wanaume warefu...wenye KIMO! ila kiukweli hapa tz wanaume wengi ni wafupi na warefu ni wa kuhesabu...halafu wafupi huwa wabishi hao! halafu ving'ang'anizi kama luba aisee!!!!
 
Dah mgonjwa mwingine huyu!! Tutafutane tupate matibabu best!!
Vyakula na maisha magumu nadhani vimedumaza wanaume wengi wa kiafrika! Warefu ni wachache mno shost
 
Huwa sipendi majigambo ila labda nikufahamishe kidogo, Nina elimu ya kutosha sana, Nina kazi nzuri thank god, na sipo bongo, ni sehemu ninayoishi hakuna wadada kutoka bongo! Above all nisingependa kupendwa kwasabab ya elimu yangu au kipato changu, urefu wala u handsome wangu @ Shansarie.
 
Basi jiamini utapata tu. Ila wadada wa siku hizi mmmh vigezo ni muhimu pia
 
hahahahahah! ni kweli shosti...yaani hata ktk mkusanyiko tu wa watu wakiwa wamesimama, ukiangalia kha! utataka kulia! wenzetu hawa kwa ufupi wamejaaliwa aisee......hahahahahahaha halafu naona hii thread imewagusa mno naona wapo KIMYA!!!!!!Sijui hawajaiona au basi tu? hahahaha msitumeze jamani mbona nyie mnatupondaga humu na si tunakomaa nanyi tu..hhahahahahahah!!!!!!ngoja waje wafupi wabishi wenyewe uone watakavyotoka mapovu humu!!!!
Dah mgonjwa mwingine huyu!! Tutafutane tupate matibabu best!!
Vyakula na maisha magumu nadhani vimedumaza wanaume wengi wa kiafrika! Warefu ni wachache mno shost
 
Wakuu ktk pitapita zangu za kila siku nakutana na minong'ono kuwa wanaume warefu wana mvuto mkubwa kwa wanawake tofauti na wenzao wafupi. hii nimeisikia kwa baadhi ya wanaume wakikiri kuwa wanaume warefu wanakubalika kirahisi kwa wanawake, basi nikajaribu upande wa pili nisikie wenyewe wanachosema, wengi wamekiri kuwa wanaume warefu wana mvuto sana ila tatizo ni mila na desturi za kwetu haziruhusu mwanamke kumtongoza mwanaume, mwingine akaniambpga kuwa wanaume warefu wengi wao wana confidence na wanajikubali sana, wapo wengi tu wanaokubali kuwa wanaume warefu wanakuwa ni wend mvuto, sasa wanawake wa jf na nyie mnasemaje??

Urefu upi?
a) Kimo - umbile la mwili
b) urefu wa ndani ya kyupi - manake kuna warefu wa umbile/kimo lakini kwenye kyupi ni wafupi
c) urefu wa wallet
 
Nalijua Hilo Shansarie, ila ni ngumu kujua Kama mtu amekuzimia Kama ulivyo au ni profile yako.
 
Huwa sipendi majigambo ila labda nikufahamishe kidogo, Nina elimu ya kutosha sana, Nina kazi nzuri thank god, na sipo bongo, ni sehemu ninayoishi hakuna wadada kutoka bongo! Above all nisingependa kupendwa kwasabab ya elimu yangu au kipato changu, urefu wala u handsome wangu @ Shansarie.

haya baba inatosha. shansarie naona kashakusoma. lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom