Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

Wakuu ktk pitapita zangu za kila siku nakutana na minong'ono kuwa wanaume warefu wana mvuto mkubwa kwa wanawake tofauti na wenzao wafupi. hii nimeisikia kwa baadhi ya wanaume wakikiri kuwa wanaume warefu wanakubalika kirahisi kwa wanawake, basi nikajaribu upande wa pili nisikie wenyewe wanachosema, wengi wamekiri kuwa wanaume warefu wana mvuto sana ila tatizo ni mila na desturi za kwetu haziruhusu mwanamke kumtongoza mwanaume, mwingine akaniambpga kuwa wanaume warefu wengi wao wana confidence na wanajikubali sana, wapo wengi tu wanaokubali kuwa wanaume warefu wanakuwa ni wend mvuto, sasa wanawake wa jf na nyie mnasemaje??

kaka siku hizi vigezo vyote kwenye wallet
 
Umenena jamaa yangu,warefu tuko na advantage sana kwa wadada,utasikia mdada anasema eti hata yule nae ananitongoza,mtu mwenyewe mfupi kama firigisi,nimpeleke wapi?hata bible inataja magiants.
 
Naunga mkono hoja, ila mamsapu akisoma hii anaweza kuomba talaka, maana mnavyotunanga wafupi ni balaa. Of coz imechangiwa sana na hizi senema za mbele na hata za hapa kwetu naona siku hizi tall man, short woman ndio habari ya mujini.
 
Hii haina ukweli! Mm ni mfupi kiasi lkn nimewala wadada warefu, wafupi, wanene, wembamba, warembo(top 5 miss tanzania)
Kama huamini nipe namba ya mkeo au demu wako uone!

Mmmm we nawe?? Huna mvuto ila pengine mkwanja ndiyo mrefu
 
Umenena jamaa yangu,warefu tuko na advantage sana kwa wadada,utasikia mdada anasema eti hata yule nae ananitongoza,mtu mwenyewe mfupi kama firigisi,nimpeleke wapi?hata bible inataja magiants.

Ha ha ha haaaaa ........ tunasemaga ivo alafu utashangaa wafupi ndo wanatuwezesha
 
ME NI MFUP TENA MFUPI HASA ILA NAJIAMINI ZAID YA UNAVYOWEZA KUDHANI AF MAISHA NI ZAID YA NGONO ATI,NINA MPENZ AMBAYE KUNA WAKAT HATA ME MWENYEWE NAJISIFU KUWA MACHO YANGU YANAONA VYEMA TENA NI MREF ZAID YANGU ILA MAISHA YANAENDA.FUATILIA MAPENZI YA WALIOKUTANA KWA BAHATI MBAYA KWA KUANGALIA VIGEZO VYA MAUMBILE PASIPO MAPENZ YA DHATI UONE DHAHMA ZINAZOWAKUTA,SI WALITAKA SHOW LOVE?

#my take.........MAPENZI YA KWELI HAYAKOSOI KAZ YA MUUMBA NA NDIYO MAANA WENGINE WANA WAPENZI WALEMAVU.

Kosa ulilofanya wewe ni kupata demu aliyekuzidi urefu.
huyo lazma kuna warefu wenzie wanakumegea..
sema utakuwa mbishi tu kwa sababu ni hulka yenu..
 
Wanaume warefu ndio wana mvuto ila hawana yale mapenzi ya kumtoa nyota pangoni. Wana stress kwa sababu wanajua ukimwacha kuna mwingine. Kama unataka kufa kwa pressure siku si zako kuwa na Mwanaume mrefu. Wanaume wafupi wako very caring and loving, utajiona kama queen. They go that extra mile. Akina dada wanaume wafupi ndo mpango mzima 🙂
 
Ndiyo unajinadi au?

mbona mimi namheshimu sana mpenzi wangu, hana pressure sina pressure juu yake..
CC: shansarie!
i love you so much...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom