Wanawake walikuwa zamani

Wanawake walikuwa zamani

Mbona na wanaume walikuwa zamani cku hiz ikibeba mimba akahisi co yake bas vikao na DNA inahusika lkn zamani utasikia kitanda hakizai haramu hp nakumbuka bb yangu mdomo aliongezewa wtt wawili wa jirani yk na alijua lkn hakusema kitu mpk kifo kilipowatenganisha
 
hivi wanawake mmejikomboa au wanaume ndo wamewakomboa, mwanamke akiwezeshwa anaweza, ha! kumbe tumewawezesha mnaturuka?

Maandiko yakifuatwa, maisha ni matamu sana maana kila mtu ataheshimiwa, atapendwa, atatunzwa na kufurahia maisha. Tatizo linakuja watu wanapotaka kuishi kinyume na maandiko..... hapo watafumaniwa, watapigana, kila mmoja atataka awe juu, kila mtu anataka awe kichwa looooh hapo ni full tafrani. Mwenye masikio na asikie neno hili ambalo maandiko yameagiza.
 
Wanaume wa siku izi ni wanaume suruali akinyimwa hela na mwanamke ananuna na kususa kama wangu ni jana tu nimemtolea nje kuhusu hela leo kanuna mbaya na mimi nimesema potelea mabali anune mpaka apasuke

Ay mwache anune atacheka tu kuhongana tena
 
Nimesoma tu page ya
kwanza nimechefuka....hivi watu bado wana mawazo ya hivi!! basi
turudishe mambo yote ya zamani.

turudishe kuonea wanawake kwa kisingizio cha utiifu na upole.
turudishe kuwapiga kwa kisingizio kuwa ni wadhaifu na wameumbwa kupenda
kuonewa na wanaume.

turudishe kukeketa wanawake kuwapunguzia hamu ili mwanaume amiliki
wanawake wengi na ili aone aibu kuwa na mwanaume mwingine, akae na
mateso ya mumewe.

turudishe wanawake kuwa wamama wa nyumbani ili wawe mali ya wanaume na
mume akifa arithishwe.

tuwanyang'anye haki zote za umiliki na ufanya kazi walizo nazo ili
mwanaume aonekane ndo kila kitu bila yeye hamna kitakachoenda.

NYIE WOTE MNAOTETEA KUPIGWA NA KUONEWA KWA WANAWAKE, ILI MWANAUME
AONEKANE YUKO JUU, KWA SABABU YOYOTE ILE, NI WAJING.A WAPUUZ.I
WENDAWAZIMU WASENG.E.

HAMNA MAANA. MMEKOSA HESHIMA KWA SABABU HAMNA HADHI YA KUPEWA HESHIMA.
MNATAKA KUTUMIA NGUVU KUPEWA HESHIMA.

KWANZA MTU ANAYENG'ANG'ANIA KUONYESHEWA UOGA ANA MATATIZO YA
KISAIKOLOJIA. muende kutafuta counseling.

uuuuuwiiiiii hatariii weka mbali na wanaume hii ni balaa
 
wamejirahisisha sana na kujenga mazoea ya ovyo kwa watu ambao hata hawajuani. Siku hizi WANAPENDA FASTA, WANAOLEWA FASTA, WANAZALISHWA FASTA, WANAACHWA FASTA, WANAANZA KUCHAKAA FASTA.

sidhani kama wanaume wa zamani walikuwa wanafanya kama wanaume wa sasa
1. hajafikia umri/nia ya kuoa anatongoza,,,,lakini siku hizi mvulana yupo kwao hana future anatongoza what for?
2. walipenda kwa dhati na c kama ss hv mwanaume anapenda kutmiza haja ya mwili, sura,shepu,mwonekano
3.walitimiza majukumu ya familia waliheshimu wake zao hata kama hawana kazi,,,waliwasikiliza,walishauriana hawakuwa wababe kama wa sasa hv,,,kosa katoa mahari bas yeye ndo yeye atakalosema lifatwe hata kama anakosea,,,hajali(babu yangu hadi leo anajifulia na bibi kakaa,mwanaume wa sasa atakwambia siwezi mi so ----- sijui nini,,pata picha hapo ),hathamini,haeshimu,hasikilizi na wengi wao hawajui hata mke anataka nini, bado kuchepuka nje juu. kweli?? wanawake wa zaman walivumilia kwa 7bu walipendwa kwa dhati,,
 
Hivi hujui hakuna wanaume kama wa zaman? Kwani waliweza kuwatunza wake zao na kuwaridhisha ; je wa siku hizi wanaweza? Na hiyo michepuko je? Jiulize
 
Mfumo wa maisha umewabadilisha wanaume ni lazima wanawake nao wabadilike.
Wanaume wa sasa hivi wengi wao wanathamini pombe kuliko famila
Wao marafiki ndio watu wa muhimu kuliko familia (mke na watoto)
Ni wabinafsi na wachoyo
Wao hawana usiri vitu vya ndani ambavyo vingemalizwa ndani unakuta kavileta hapa au anawaeleza wenzie (Vifua na makoromeo ya kiume hakuna tena)
Kitandani ni balaa unaunga unga na bado unaenda kutongoa tongoza nje yaani nguvu za kutafutiza halaf bado wanafu...ck nje
Wao kudekeza hawawezi ila wadeke wao
Kujilegeza legeza ni wao ile kujikaza na kusema kweli kuna baba hapa ndani hakuna.

tena ni hao hao wanaopga kelele jf kisa amebaniwa"sex before" na huyo anaedai mchumba ake wakati hata mahari hajatoa,,,zamani haikuwa hivi eti mwanaume wa sasa anajidai hawezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia,,,mpaka atest kha!! wananiudhi!! wanaume wazaman walikuwa na adabu na ndo mana hata wanawake walikuwa na adabu walijithamini utu wao.
 
walikuwa hawapendi hela na walikuwa wanapenda USAFIiiiiiii...walikuwa hawavai pichu za kambaaa..walikuwa wakikojoa WANACHUCHUMAAA...kha wa sasa

WANAKOJOA huku wamesimamaaaaaaaa
 
wanawake zamani bhana, siku hizi wanavaa mawigi utadhani majani ya masale na wengine wanapaka rangi za goldstar machoni
 
wanawake zamani bhana, siku hizi wanavaa mawigi utadhani majani ya masale na wengine wanapaka rangi za goldstar machoni

ni kweli mkuu,,,na wanaume zamani hawakuvaa mlegezo,cheni kifupi hawakuwa na show off kama sasa hana gari anaazima,nguo anaazima ili tu afanane fulani, awapate kina fulani afunue na kufunika then asepe koz hana future. kama una kaka sasa hv utatambulishwa mawifi wa kila rangi,sura,shepu, dzain mpaka basi,,,mabadiliko yakianza kwa wanaume na wanawake watafata.
 
walikuwa hawapendi hela na walikuwa wanapenda USAFIiiiiiii...walikuwa hawavai pichu za kambaaa..walikuwa wakikojoa WANACHUCHUMAAA...kha wa sasa

WANAKOJOA huku wamesimamaaaaaaaa
Vyoo vya zamani vilikuwa vya shimo siku hizi vyakukaa sasa ukikaa utabeba maradhi ya wangapi?.Hao wa zamani walikuwa hawavai kabisa.Walikuwa hawapendi hela kwasababu mwanaume alikuwa anacover nafasi ya hela sasa siku hizi ni taabu ndio maana na wao wamejanjaruka
 
Hivi hujui hakuna wanaume kama wa zaman? Kwani waliweza kuwatunza wake zao na kuwaridhisha ; je wa siku hizi wanaweza? Na hiyo michepuko je? Jiulize

Aisee ukweli ni kwamba wanaume wa zamani walikuwa wababe si kidogo,coz baadhi ya makabila kama wanyaki ili mwanamke aweze kuolewa,lazima awe anaweza kulima sana,na wanaume wengi walikuwa wanaoa zaidi ya mke mmoja ili wanawake hap washindane kufanya shughuli za Shanna wakati Baba anajipumzisha tu kwa Kahawa,kwa upande wa uimara kunako 6 kwa 6 hakika walikuwa vizuri,nliwahi kumsikia rafiki yake Baba akimsimulia mwenzake kuwa aliwahi pigs bao 11,mwanamke aliyekuwa naye cku hiyo aliondoka ucku ucku akaacha nguo zake ndani kwa mzee huyo na hakurudi tena,japo mzee alikuwa Ana lengo la kumuoa kama mke wa tatu!!
 
Mwanamke akikupenda kweli hata demand ya pesa kwako inakuwa ndogo lakini asipokupenda atakufanya ATM machine kweli .
Na nyie wanaume unaweza kumfanya mtu akupende kutokana na unavyo mtreat treat her like a lady upendo lazima uje.wasema love comes slowly!
 
wanawake zamani bhana, siku hizi wanavaa mawigi utadhani majani ya masale na wengine wanapaka rangi za goldstar machoni
Bado hata nisipo vaa mimi utaenda kwa wengine wanaume hamna jema ninyi kila kitu kwenu ni kasoro .
 
Mmetufanya sie ngoma? Mwanaume wa kweli hawezi mpiga mkewe tunapigwa kwa doti ya kanga babu eeeeh lol.....

Siku nkipigwa lile kofi tu hapatatosha masihara na mwili sina.......
 
nyie bana nanyi puuuuuuu
mnataka wanawake wawe kama zamani wakati nyie hamko kama zamani
tusichoshaneeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom