Mwanamke wa Zamani alikuwa ni Msiri sio Mpayukaji kama wa sasa,alikuwa mtihifu na mtitii kwa mumewe,ACHEPUKI HATA KIDOGO hapa natoa mfano kwa Mama mdogo wangu,ambaye mume wake alienda kenya kutafuta maisha alikaa miaka 9 bila kuwa na taarifa nae sisi tukajua kafa,gafla akaonekana kenya tuenda kumchukua alikuwa na Maisha safi huko,cha ajabu Mke wake alikaa kwa baba mkwe akilea watoto na kufanya kazi huku akilea watoto na alikuwa na adabu ile mbaya na uhakika ajawai kusaliti Ndoa yake,Mpaka leo wapo na wote mambo safi,Mke mwema hutengeneza familia nyema juzi mwanae kaolewa alipomaliza chuo Mume wake kaja katoa Sadaka kwa kumkuta BIKRA,BABA MDOGO UMEPATA MKE HONGERA SANA