Wanawake walikuwa zamani

Wanawake walikuwa zamani

heshima ya mwanaume ni kutengeneza boma lake na kulipa mipaka.
hapa ni kwa fulani.huyu ni mtoto wa.fulani,yule ni mke wa fulani,wale ni ng'ombe wa fulani.wenzenu walikuwa na identity zao!nyie mpo mpo tu!kitu pekee mnachomiliki kwa hakika ni dhakar zenu ambazo pia hamjui kuzitumia!
 
Mtasubir saaaaana kumpata mwanamke wa zamani!
unless umechukua version zile na kuzihamishia folder jipya na ukaanza kuzitumia!
kwa hakika hutaoa hawa unaowaita wa sasa hivi maana jicho lako pia litaanguka kwa wale wenye vigezo vyako!ukiendelea kuwa mwanaume wa siku hizi utapata mwanamke wa siku hizi ili muwe even!
 
Agano la kale limepita bwana.... hapa ni usawa tuuu! Mabibi zetu waliteswa na mababu, leo na ninyi vilembwe mnataka kuendelea kututesa... mshindwe! hapa ni kukaba hadi penati. Mtaongea yooote uzi ni ule uleeeee

Wanawake wapigania usawa hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
heshima ya mwanaume ni kutengeneza boma lake na kulipa mipaka.
hapa ni kwa fulani.huyu ni mtoto wa.fulani,yule ni mke wa fulani,wale ni ng'ombe wa fulani.wenzenu walikuwa na identity zao!nyie mpo mpo tu!kitu pekee mnachomiliki kwa hakika ni dhakar zenu ambazo pia hamjui kuzitumia!

Nenooooooooooooo
Khaa mwanaume unajisifu kumpiga mkeo... halafu wajiita mwanaume hovyoooooooooooo
 
Hii mada itafika mbali, ukizingatia ni inshu inayohusu gender.
 
kwani wewe ni wa zamani!! ???.. nenda kachukue wazee sasa si ni wa zamani au!!!
 
Hii mada itafika mbali, ukizingatia ni inshu inayohusu gender.

mbona tayari ipo mbali mkuu, hujasikia la wanaume kugombea wanaume na wanawake? kwamba wanaume tumekuwa wachache? au hapo bado karibu?
 
Agano la kale limepita bwana.... hapa ni usawa tuuu! Mabibi zetu waliteswa na mababu, leo na ninyi vilembwe mnataka kuendelea kututesa... mshindwe! hapa ni kukaba hadi penati. Mtaongea yooote uzi ni ule uleeeee

Wanawake wapigania usawa hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

kazania kusema hoyeee wakati wenzako wapo hoiiiiii.
 
Wanawake wa siku hizi usijidanganye unaanza nae maisha ukitaka kuoa wewe hakikisha unakila kitu gari zuri pesa na nyumba yeye akija atumie tu! Ile kitu tuvumilie tujenge maisha wanawake wasasa hawana!
 
Mfumo wa maisha umewabadilisha wanaume ni lazima wanawake nao wabadilike.
Wanaume wa sasa hivi wengi wao wanathamini pombe kuliko famila
Wao marafiki ndio watu wa muhimu kuliko familia (mke na watoto)
Ni wabinafsi na wachoyo
Wao hawana usiri vitu vya ndani ambavyo vingemalizwa ndani unakuta kavileta hapa au anawaeleza wenzie (Vifua na makoromeo ya kiume hakuna tena)
Kitandani ni balaa unaunga unga na bado unaenda kutongoa tongoza nje yaani nguvu za kutafutiza halaf bado wanafu...ck nje
Wao kudekeza hawawezi ila wadeke wao
Kujilegeza legeza ni wao ile kujikaza na kusema kweli kuna baba hapa ndani hakuna.
 
wacha tubadilike tu bana wanaume wenyewe wameshindwa majukumu yao. halafu we JEKI mi sio mtoto bana
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wa siku hizi mipaka hawana kama kuna housegirl, marafiki wa mkewe ,kazini kazoeana na wanawake mpk unajiuliza huyu mwanume anashida gani? yaan mkewe asipokuwa nyumbani marafiki wakija aaagh! mbona watapiga stori na kutaniana kama kawaida yaani nothing is missing loh!kweli old is gold. Ila pande zote zinamabadiliko makubwa sana jamnii
 
Enzi zile mwanamke amepigwa na mumewe analia, akisikia tu hodii hodiii haraka sana anajifuta machozi na kuanza kucheka, wa siku hizi mbona ataenda kulilia kwa jirani ili dunia nzima ijue kapigwa au huyooo mahakamani. Hebu sasa tutumie uzi huu kutaja matendo ya wamama wa zamani ya kishujaa kama hili nililolitaja ili hawa watoto wa siku hizi kina miss neddy, DEMBA, mama la mama, miss chagga na wengine wajifunze.

Wacha uongo, enzi hizo mwanamke anapigwa na khanga au henkachifu, ataacha kucheka?
 
Kweli wanawake zamani,cku hizi midume ynyw ishakua wanawake,nyie mnategemea nini?mtuwache tupumuweeeee
 
kazania kusema hoyeee wakati wenzako wapo hoiiiiii.

ha ha haaaa akili mukichwa ..... unakumbuka Lile azimio la Bejing - china? wajanja walipalilia ndoa ndoa zao... wale wa kuiga iga hadi leo wanaishi single
 
nijuavyo hata iweje ni KOSA TAKATIFU mume kupiga mke. hapa si story tu, watu wanaeleza matamanio ya moyoni. ni mambo yana mizizi na mashina marefu akilini. inahitaji kung'olewa.
ingekuwa mnapiga story na kukosoa hizi tamaduni sawa. lakini mnakosoa wanawake kujikomboa na upuuzi huu...
mwanamke wako ana hasara.

hivi wanawake mmejikomboa au wanaume ndo wamewakomboa, mwanamke akiwezeshwa anaweza, ha! kumbe tumewawezesha mnaturuka?
 
ha ha haaaa akili mukichwa ..... unakumbuka Lile azimio la Bejing - china? wajanja walipalilia ndoa ndoa zao... wale wa kuiga iga hadi leo wanaishi single

hapo sasa nimekupata, wale waliorudi beijing na usawa wao ilikula kwao, wamebaki wanalia tulidanganywa, utapingana na maandiko!! nilikuwa sijakupata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom