aahhh kumbe wewe ndio mke wangu leo utanikoma ,umesema mimi nimenuna?
Wanaume wa siku izi ni wanaume suruali akinyimwa hela na mwanamke ananuna na kususa kama wangu ni jana tu nimemtolea nje kuhusu hela leo kanuna mbaya na mimi nimesema potelea mabali anune mpaka apasuke
Huko uchagani huko nina wasiwasi kama baba mkwe hakupiga!!!Mwanamke wa Zamani alikuwa ni Msiri sio Mpayukaji kama wa sasa,alikuwa mtihifu na mtitii kwa mumewe,ACHEPUKI HATA KIDOGO hapa natoa mfano kwa Mama mdogo wangu,ambaye mume wake alienda kenya kutafuta maisha alikaa miaka 9 bila kuwa na taarifa nae sisi tukajua kafa,gafla akaonekana kenya tuenda kumchukua alikuwa na Maisha safi huko,cha ajabu Mke wake alikaa kwa baba mkwe akilea watoto na kufanya kazi huku akilea watoto na alikuwa na adabu ile mbaya na uhakika ajawai kusaliti Ndoa yake,Mpaka leo wapo na wote mambo safi,Mke mwema hutengeneza familia nyema juzi mwanae kaolewa alipomaliza chuo Mume wake kaja katoa Sadaka kwa kumkuta BIKRA,BABA MDOGO UMEPATA MKE HONGERA SANA
lazima wawe hivyo kwa mambo haya.
Na kulalamikia kutoona mishahara ya wake zao "wanaume wa sikuhizi"Wanaume walikuwa enzi hizo walijua majukumu yao ...decision making..kuwafikisha wake zao
Wanaume wa siku hizi chipsi yai...kulia lia tu hawana hela za kuhonga..
wanawake wa zamani walikuwa wanahudumiawa .. wa sasa tunajihudumia tukiomba huduma utasikia kanifanya buzi