Wanawake walikuwa zamani

Wanawake walikuwa zamani

Enzi zile mwanamke amepigwa na mumewe analia, akisikia tu hodii hodiii haraka sana anajifuta machozi na kuanza kucheka, wa siku hizi mbona ataenda kulilia kwa jirani ili dunia nzima ijue kapigwa au huyooo mahakamani. Hebu sasa tutumie uzi huu kutaja matendo ya wamama wa zamani ya kishujaa kama hili nililolitaja ili hawa watoto wa siku hizi kina miss neddy, DEMBA, mama la mama, miss chagga na wengine wajifunze.

Wa Kwangu analilia kimya kimya room ,hata jirani hasikii.Old is gold
 
mods wekeni dislike button. na mtu awe na uwezo wa kutoa hata dislike 1000 kwa post.
 
Zamani unatongoza mwaka
mzima kupewa game mpaka miezi au mpaka uvizie mtoni ameenda kuchota maji
upige ka fasta tena amesimama ila wa siku hizi unatongoza asubuhi
mchana anakuja mwenyewe gheto mimi nawaita maharage ya
Mbeya
maji kikombe kimoja.

Wanaume zamani bhana hata kutongoza walikuwa hawajui,wanatongozewa.Sio wa cku hiz kila apitaye mbele yake anarusha ndoana,majanga tupu.
 
Wanawake wa zamani hata ukimuolea mke mwenza halalamiki, Lakini wa siku hizi hata kabla hujamuoa akisikia una kitu kingine patachimbika.

Wanawake wa zamani walielewa kuwa idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume, waliondokana na ile One to One function na wakaikubali ile ya One to Many function.

Mkuu - umenikumbusha mambo ya Database, one to one relation na one to many relation
 
Kweli walikuwa zamani bhana. Ukikamata mlupo, baada ya mkasi ukimpa pesa utasikia "kwani umeniona mi kahaba". Atazikataa katakata. Na huo unaweza ukawa mwisho wenu kwa kosa la kumpa pesa baada ya mikasi. Uliza kinachotokea siku hizi sasa!!!!!
 
eti mwanamke akipigwa halii mbele ya watu.

we umemuoa huyo mwanamke wa nini? unataka umalize hasira zako za utotoni kwake?

unataka tu kujisikia na wewe una mamlaka fulani?

mna gonjwa la kisaikolojia linawafanye msikie raha kuumiza wenzenu?

wewe umeumbwa na ukuu unaokufanya na kukuruhusu umfanyie unachotaka??

niambieni kwanini hamuoni tatizo kuongelea na kuwatendea wanawake kama ni hadhi ya chini yenu??

ndo mungu karuhusu? mwenzangu kama ndo hivyo acha tu niende huko motoni. wengine tumezaliwa wanawake kimakosa. hata ningekuwa mwanaume sidhani kama ubinadamu wangu utaniruhusu hata kufikiria jinsi mnavyofikiria.

hivi binadamu wengine mnatoka kwenye unyama au ndo mnaelekea????
 
Nimesoma tu page ya kwanza nimechefuka....hivi watu bado wana mawazo ya hivi!! basi turudishe mambo yote ya zamani.

turudishe kuonea wanawake kwa kisingizio cha utiifu na upole. turudishe kuwapiga kwa kisingizio kuwa ni wadhaifu na wameumbwa kupenda kuonewa na wanaume.

turudishe kukeketa wanawake kuwapunguzia hamu ili mwanaume amiliki wanawake wengi na ili aone aibu kuwa na mwanaume mwingine, akae na mateso ya mumewe.

turudishe wanawake kuwa wamama wa nyumbani ili wawe mali ya wanaume na mume akifa arithishwe.

tuwanyang'anye haki zote za umiliki na ufanya kazi walizo nazo ili mwanaume aonekane ndo kila kitu bila yeye hamna kitakachoenda.

NYIE WOTE MNAOTETEA KUPIGWA NA KUONEWA KWA WANAWAKE, ILI MWANAUME AONEKANE YUKO JUU, KWA SABABU YOYOTE ILE, NI WAJING.A WAPUUZ.I WENDAWAZIMU WASENG.E.

HAMNA MAANA. MMEKOSA HESHIMA KWA SABABU HAMNA HADHI YA KUPEWA HESHIMA. MNATAKA KUTUMIA NGUVU KUPEWA HESHIMA.

KWANZA MTU ANAYENG'ANG'ANIA KUONYESHEWA UOGA ANA MATATIZO YA KISAIKOLOJIA. muende kutafuta counseling.

huyu ndo mfano wa wanawake wa siku hizi, mwanamke unaweza tukana hivyo? hata kama ungefanywaje hakuna aiseee.
 
huyu ndo mfano wa wanawake wa siku hizi, mwanamke unaweza tukana hivyo? hata kama ungefanywaje hakuna aiseee.

unaona tatizo mwanamke kutukana lakini huoni tatizo mwanaume kupiga mwanamke kama mtoto...niambie ni vipi viwango vyako ni vikuu kuliko vyangu!!
 
Kweli walikuwa zamani bhana. Ukikamata mlupo, baada ya mkasi ukimpa pesa utasikia "kwani umeniona mi kahaba". Atazikataa katakata. Na huo unaweza ukawa mwisho wenu kwa kosa la kumpa pesa baada ya mikasi. Uliza kinachotokea siku hizi sasa!!!!!

upo sahihi kabisa mkuu, wanawake wa sasa hivi ukimaliza tu anaomba pesa.
 
unaona tatizo mwanamke kutukana lakini huoni tatizo mwanaume kupiga mwanamke kama mtoto...niambie ni vipi viwango vyako ni vikuu kuliko vyangu!!

ninavyofahamu hata iweje mwanamke si busara kutukana, hapa tunapiga story tu umetukana matusi yote, ingekuwa real je? mwanaume wako ana HASARA.
 
Heshima ya mwanaume ilitafutwa !
wenzenu hawakukaa tuu viti virefu kupunguza urijali wao kwa mipombe ya kila aina mnayokunywa!
 
Wanawake wa zamani hata ukimuolea mke mwenza halalamiki, Lakini wa siku hizi hata kabla hujamuoa akisikia una kitu kingine patachimbika.

Wanawake wa zamani walielewa kuwa idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume, waliondokana na ile One to One function na wakaikubali ile ya One to Many function.

Mkuu umenirudisha mbaaaali sana, one to one function, one to many function na many to many function, siku hizi tupo kwenye hiyo ya 3.
 
heshima ya mwanaume ililindwa.
wenzenu hawakuoa ili wapaate michango ya harusi.walioa kuonyesha wako tayari kubeba majukumu.na waliyabeba hasa kuanzia kutongoza mpk kulea watoto
 
ninavyofahamu hata iweje mwanamke si busara kutukana, hapa tunapiga story tu umetukana matusi yote, ingekuwa real je? mwanaume wako ana HASARA.

nijuavyo hata iweje ni KOSA TAKATIFU mume kupiga mke. hapa si story tu, watu wanaeleza matamanio ya moyoni. ni mambo yana mizizi na mashina marefu akilini. inahitaji kung'olewa.
ingekuwa mnapiga story na kukosoa hizi tamaduni sawa. lakini mnakosoa wanawake kujikomboa na upuuzi huu...
mwanamke wako ana hasara.
 
Au utaskia nawe si unafanya kazi...au si ujishughulishe upate za kwako utumie unavyotaka!! Wanaume wa siku hizi ni majanga, badala ya kuhudumia wanapenda kuhudumiwa instead...

hapo sasa wanakwepa majukumu na kuamishia kwa bar ... wapuunzi kwli hawa
 
heshima ya mwanaume ilitoa mwongozo
wenzenu waliijua stara ya kike.walijua kuwa na vifua!walijua stara ya ndoa zao!nyie mkikaa mnajadili wake zenu walivyowavalia vikuba vya asumin!mkichepuka mnasimuliana!mnakula mnaoga mnalala huko huko.ulizeni wenzenu walivohakikisha jogoo anawika akiwa ndani!
 
wanaona wanawake wamebadilika na hawataki wabadilike. hawajioni wamebadilika na hawataki kuona.
ili mradi tu wawe "juu".

SUPERIORITY COMPLEX is the most common disorder to me.
 
heshima ya mwanaume iliheshimiwa
wenzenu haikuwalazimu kupiga wake zao ili waheshimiwe!
walikuwa na sauti ya kibaba!mwendo wa kibaba!matamko ya kibaba sasa nyie mnalamba lamba lips tu na kushindana maneno na wanawake zenu mnadhani mtaheshimika?
siku hiz unakuta mwanaume kashika kiuno!anamshika mwenzie begani wanaongozana!anachapiwa mkewe anaenda kwny media
mxxxxxxxxxxxxiou!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom