Rapunzel
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,079
- 601
wee acha tu wanaume zamani bhana sikuhizi mkewe ananyonyesha nayeye atolea jicho nyonyo sijui mtoto anyonye nin sasa....
Hahahaha.....wanaume walikuwa zamani bhana siku hizi mwanaume unao kisha unaenda kuishi kwa mwanamke tukiachana unaondoka na kifuko chako cha rambo
Hihihihii!!!