snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,320
Umeona eeeh saloon twapigana vikumbo kutinda nyusi lol
Kijana ni single!ananunua dressing table!
Chaaaa!
Umeona eeeh saloon twapigana vikumbo kutinda nyusi lol
Enzi zile mwanamke amepigwa na mumewe analia, akisikia tu hodii hodiii haraka sana anajifuta machozi na kuanza kucheka, wa siku hizi mbona ataenda kulilia kwa jirani ili dunia nzima ijue kapigwa au huyooo mahakamani. Hebu sasa tutumie uzi huu kutaja matendo ya wamama wa zamani ya kishujaa kama hili nililolitaja ili hawa watoto wa siku hizi kina miss neddy, DEMBA, mama la mama, miss chagga na wengine wajifunze.
zamani kuna kilichokuwa kinawaweka ndani, maana wanaume wa zamani vitatu vya kwanza ni mfululizo halafu vitatu vinavyofuata ndio kimoja baada ya kingine. Sasa hata akipigwa anajua yuko kwa mume, sasa mkuu siku hizi hata vijana wa miaka ya ishirini wanastress ya maisha, siku wakihitaji mpaka wapite kwa wamasai unategemea nini. Zamani mzee wa miaka 80 ana wake 7 na wote husikii mchepuko.
Na wanaume wa kipind kile walivyojawa na mahaba kwa wake zao...mke kamkosea mume bas hampigi kwa magumi wala mateke! Anapigwa kwa pea moja ya kanga! Yaan ananunuliwa kanga ndo adhabu yake! Haya sasa..ckuiz mnapiga kipigo kias kwamba lazma majiran wajue maana ni kipigo cha kwenda nduki! Cwez kuchezea kichapo cha mwizi af nkakaa tu nkutizameEnzi zile mwanamke amepigwa na mumewe analia, akisikia tu hodii hodiii haraka sana anajifuta machozi na kuanza kucheka, wa siku hizi mbona ataenda kulilia kwa jirani ili dunia nzima ijue kapigwa au huyooo mahakamani. Hebu sasa tutumie uzi huu kutaja matendo ya wamama wa zamani ya kishujaa kama hili nililolitaja ili hawa watoto wa siku hizi kina miss neddy, DEMBA, mama la mama, miss chagga na wengine wajifunze.
Wanawake wa siku hizi usijidanganye unaanza nae maisha ukitaka kuoa wewe hakikisha unakila kitu gari zuri pesa na nyumba yeye akija atumie tu! Ile kitu tuvumilie tujenge maisha wanawake wasasa hawana!
Kweli wanawake zamani,cku hizi midume ynyw ishakua wanawake,nyie mnategemea nini?mtuwache tupumuweeeee
Bado hata nisipo vaa mimi utaenda kwa wengine wanaume hamna jema ninyi kila kitu kwenu ni kasoro .
ni kweli mkuu,,,na wanaume zamani hawakuvaa mlegezo,cheni kifupi hawakuwa na show off kama sasa hana gari anaazima,nguo anaazima ili tu afanane fulani, awapate kina fulani afunue na kufunika then asepe koz hana future. kama una kaka sasa hv utatambulishwa mawifi wa kila rangi,sura,shepu, dzain mpaka basi,,,mabadiliko yakianza kwa wanaume na wanawake watafata.
Sijui unatumia kinywaji gani usiku huu my dear..heshima ya mwanaume iliheshimiwa
wenzenu haikuwalazimu kupiga wake zao ili waheshimiwe!
walikuwa na sauti ya kibaba!mwendo wa kibaba!matamko ya kibaba sasa nyie mnalamba lamba lips tu na kushindana maneno na wanawake zenu mnadhani mtaheshimika?
siku hiz unakuta mwanaume kashika kiuno!anamshika mwenzie begani wanaongozana!anachapiwa mkewe anaenda kwny media
mxxxxxxxxxxxxiou!
Hizi simu zinanikosesha mengiheshima ya mwanaume ni kutengeneza boma lake na kulipa mipaka.
hapa ni kwa fulani.huyu ni mtoto wa.fulani,yule ni mke wa fulani,wale ni ng'ombe wa fulani.wenzenu walikuwa na identity zao!nyie mpo mpo tu!kitu pekee mnachomiliki kwa hakika ni dhakar zenu ambazo pia hamjui kuzitumia!
wa siku hizi hata uwahonge vipi bado watatamani nje, tamaa sana wanawake wa siku hizi, hawaridhiki.
wanawake wa zamani walikuwa wanatunza bikra zao...sasa hivi wanampa yeyete mwenye kuhitaji...