Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

.......uncivilized society...........

Right on mazee.

Halafu cha kushangaza zaidi unakuta wanawake wengine nao wanaona hayo manyanyaso ni sawa tu.

Lakini unategemea nini kwenye jamii ambayo haithamini utu wa mtu?
 
Right on mazee.

Halafu cha kushangaza zaidi unakuta wanawake wengine nao wanaona hayo manyanyaso ni sawa tu.

Lakini unategemea nini kwenye jamii ambayo haithamini utu wa mtu?

hivi kama mtu mwenyewe hawezi kujitambua na kujiheshimu, ni nani atakayemheshimu yeye? jamani dada zangu,mnapendeza sana hata msipoyabana makalio, hips na hizo nyonyo! mi nadhani mjiheshimu nanyi mtaheshimika tu. vinginevo mkashawishi wajumbe wa bunge la katiba wapitishe katiba itakayoruhusu watu wote kutembea uchi hadharani... sipati picha uko njiani uchi na mwanaume unayeenda kupishana naye pia yuko uchi, halafu umeingia m.p.!
 
hivi kama mtu mwenyewe hawezi kujitambua na kujiheshimu, ni nani atakayemheshimu yeye?

Kama yeye hajitambui na hajiheshimu wengine inawahusu nini?

jamani dada zangu,mnapendeza sana hata msipoyabana makalio, hips na hizo nyonyo! mi nadhani mjiheshimu nanyi mtaheshimika tu.

Maisha ni yao, miili ni yao, na hakuna mwingine mwenye mamlaka ya kuwachania nguo hata ziwe fupi. Wewe kama hupendi usivae hivyo. Lakini siyo kujipa usungusungu wa maadili na kujichukulia sheria mkononi.

vinginevo mkashawishi wajumbe wa bunge la katiba wapitishe katiba itakayoruhusu watu wote kutembea uchi hadharani... sipati picha uko njiani uchi na mwanaume unayeenda kupishana naye pia yuko uchi, halafu umeingia m.p.!

Acha kupotosha wewe. Nani anatembea uchi? Mijitu mingine bana.

Anyway, lakini kwa vile wanawake wengi wa Tanzania nao ni wajinga wasiojua kudai na kusimamia haki zao, acha tu wachaniwe na kudhalilishwa. Kwa ujinga walionao wanastahili kabisa kukiukwa.
 
wajinga sana hao wavuta bangi,, tuachieni maua yetu yapendezeshe mji..,,
 
Mkuu tupia basi kapicha baada ya kuwa wamemvua nguo tuone. Maana wengine wazuri wamevaa akivua utadhani NYANI imekosea njia
 
Tangu juzi hapa jijini Mwanza kumezuka kundi la vijana wanaowasulubu wanawake wanaovaa nguo fupi. Muda mfupi uliopita hapa maeneo uhuru karibu na shule ya thakafa dada mmoja kavuliwa nguo zote kabaki kama alivyo zaliwa. Wasamaria walijaribu kumpa khanga nayo ikachanwa,waathirika wakubwa wamekua niwanafunzi wa viwo hususan st Augustine, CBE nk. Vijana hawa wanadai wanatekeleza agizo la rais Museven

Vijana wanafanya Kazi nzuri sana!
Na wanastahili pongezi!

Huenda na ukimwi na maradhi mengine ya zinaa yakapungua mwanza.

Wakati mwingine wakosa nidhamu ukitaka kuwafunza basi inabidi na wewe Ukose nidhamu.
 
Kama unachukizwa na muonekano wa mguu wa mwnamke, lazima utakuwa ni shoga au hauko rijali. Kajichunguze. Mimi binafsi sina shida kabisa kutazama hii kazi murua ya Mwenyezi Mungu.

Na akivaa dada yako au mama mzazi utaitizama hio kazi MURUA!?

Au mama za watu ni sawa lkn wa kwako hapana!

Mnfnssssssss!
 
Acheni kuforce vitu mnavyothani ni ukweli. Kabla ya mzungu kuja africa, tulikuwa tunatembe uchi wa mnyama. In fact, ukitaka kudumisha utamaduni halisia ya mwafrica unakuwa unamaanisha kutembea uchi, kuabudu miungu na kuendeleza mawazo ya ushirikina kwa kuenda mbele.

Sio suala la ku firce vitu bali huo unaitwa USTAARABU!

Na kuiga kitu kizuri na chenye kuleta heshima ktk jamii SIO VIBAYA!
as matter fact NI VIZURI SANA!

Kama suala la kuiga ni baya na huo unaouita uafrika ni mali basi huko nyuma Babu alikuwa anajisaidia mtoni! Na kuchambia majani!

Inakuwaje leo we ujenge choo!?

Na vilevile babu yako alikuwa na imani kuwa wanawake wakila mayai na maini au ile minofu mizuri wanaweza kufunga uzazi!

Sasa inakuwaje leo dada zako wanakandamiza kila kitu!?

Acha kutetea uchafu unaochangia kuisambaratisha jamii!

Au iko siku huo uchafu utakuja kuathiri familia yako.
 
Hivi toka mwanza hadi kwa musdveni na mwanza hadi dar mbali wapi? Inawezekana kina ngosha wanasiklza sana radio za uganda!
 
Hivi toka mwanza hadi kwa musdveni na mwanza hadi dar mbali wapi? Inawezekana kina ngosha wanasiklza sana radio za uganda!

sasa kama jamaa yetu haeleweki, mara wauz unga nawajua ,mara majangili nawajua hawataji na hachukui hatua kwanini watu wasimsikilize baba wa jirani,? mwenye uthubutu !?? waulize marekani na mashoga wao kawagomea !wetu anaweza??,,,,
 
Tangu juzi hapa jijini Mwanza kumezuka kundi la vijana wanaowasulubu wanawake wanaovaa nguo fupi. Muda mfupi uliopita hapa maeneo uhuru karibu na shule ya thakafa dada mmoja kavuliwa nguo zote kabaki kama alivyo zaliwa. Wasamaria walijaribu kumpa khanga nayo ikachanwa,waathirika wakubwa wamekua niwanafunzi wa viwo hususan st Augustine, CBE nk. Vijana hawa wanadai wanatekeleza agizo la rais Museven
mwanza ni Tanzania au ni Uganda mpaka hawa vijana wamnatii Mseveni?
 
...nafikiri wadada wachague mavazi kulingana na sehemu wanazoenda. Ila kivazi cha club ukakivalia sehemu za mikusanyiko kama stendi au sokoni lazima watakusumbua. So akili kumkichwa yasije yakakutokea mabaya ukaja juta kama huyu.... vnd.youtube:R5Q9Bh8etRw?vndapp=youtube_mobile&vndclient=mv-google&vndel=watch
 
kuvaa nguo za wadogo zao imekuwa fasion.haya wavueni.
Umeona ee! bei ya nguo za watoto imepanda kinoma kisa mitindo ya kisasa,
hivi kwani hakuna mitindo ya kisasa ya nguo za watu wazima,mpaka wavamie kuvaa za watoto?
 
Back
Top Bottom