Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

Aisee safi sana"niliwahi kusikia kua uvaaji wao unapunguza sana nguvu za kiume sina hakika kama nikweli.
 
Mkuu acha kashfa, huwezi kumfananisha mwanajf mwenzio na katuni, je na wewe ukifananishwa na DOCTOR LOVE PIMBI au COMRADE KIPEPE utajisikiaje?

Achana nae huyo hata haumiz kichwa bado mwanafunzi
 
Na support vijana. Hii sio Amri ya museveni, ila karudia kusema maandiko ya mwenyezi mungu. Kwa kuwa ni Amri ya mwenyezimungu kwa wanadamu wote, vijana kuitekeleza huko mwanza ni sawa tu, hawakumdhalilisha huyo binti, ila walikuwa wanampa fursa ya kukaa uchi kabisaaa badala ya kukaa uchi nusu nusu.
 
Na kabla ya kuja mzungu, hatukuwa na elimu ya darasani, hapakuwa na rais, hapakuwa na magari, kompyuta, simu, n.k, mbona hivyo hujasema kama tuvirudie ila kwenye nguo fupi ndo unadai inapaswa kurudiwa?. Mbona umesoma na hukuamua kukaa kama waafrika wa kabla ya wazungu? kama unaonaa kukaa uchi ni haki kwa mwafrika, basi usitumie hata internet na kila cha mzungu urudi enzi za kabla ya wazungu.

nakuunga mkono,
kama uvaaji wa nguo hizo ulikuwa utamaduni basi amwambie na bi mkubwa wake avae hivyo barabarani.
 
Acheni wavae tuone mautamu nyie wavimba macho VP..
Ama nyie cyo malijali hamuoni utamu wake hayo mambo???
Hao ni watu wazima na wameamua kuvaa hivo waacheni...msitake wavae kilocal local hayo ndo maua ya mjini...
Sifa ya jiji mojawapo ni maujanja ya madada kupigilia mini na pedo za ukweli
Tatizo lenu urugaruga unawasumbua na wivu coz mnaishia kuwaona ila kuwapata hamuwez so mnaona bora muwaharibie..
Huo siyo mpango acheni watoke kisasa kama unakwazika kimpango wako lala ndani
Dada zangu jiachieni tuu ila mkae mkijua UKIMWI UPO NA UNAUA
 
Mimi nadhani hawa wanadada dada wanaopenda vinguo vifupi, dawa yao ni ndogo sana, ni kupunguza adhabu ya kubaka kwa yeyote aliefanya ubakaji kwa mwanamke ambae amevaa nguo za kutamanisha. Maana mtu anapokuwa tempted kwenye Hilo suala, huwa na akili kidogo inakuwa inahama kwa mda mpaka suala hilo litoke. Sasa kama ni haki tu za kupeana hovyo hovyo, haki ya mwanaume anapokuwa tempted itakuwa haijazingatiwa sana pale anapo amua kuipa Roho yake kile alichokiona hapo. Maana siku zote mwanamke aliejistiri vizuri huwa ni automatic anaheshimiwa na watu na wala hawawezi kumchokoza chokoza ( flirt).

Pale mwanamke anapo vaa sketi fupi na ya kubana makalio yake, kumshika shika makalio isiwe ni kosa, maana anakuwa ameku tempt kufanya hivyo. Kisha tuone nani atakae thubutu kuvaa sketi fupi na ya kubana?
 
Mimi nadhani hawa wanadada dada wanaopenda vinguo vifupi, dawa yao ni ndogo sana, ni kupunguza adhabu ya kubaka kwa yeyote aliefanya ubakaji kwa mwanamke ambae amevaa nguo za kutamanisha. Maana mtu anapokuwa tempted kwenye Hilo suala, huwa na akili kidogo inakuwa inahama kwa mda mpaka suala hilo litoke. Sasa kama ni haki tu za kupeana hovyo hovyo, haki ya mwanaume anapokuwa tempted itakuwa haijazingatiwa sana pale anapo amua kuipa Roho yake kile alichokiona hapo. Maana siku zote mwanamke aliejistiri vizuri huwa ni automatic anaheshimiwa na watu na wala hawawezi kumchokoza chokoza ( flirt).

message delivered.
 
Utamu sio kuona peke yake, marijali wakiona hupeleka wanataka wamalize kabisa. Wewe unataka kuona tu peke yake?
 
kumbe na wewe ni mchana nguo za wanawake? pole sana, wapelekeni kwenye vyombo husika, hamna mamlaka ya kujichukulia sharia mkononi

ishachukuliwa mkononi sasa unatakaje, au unataka mpaka siku utakapona utupu wa mama yo
 
Nataka ziwe covered na zipewe hadhi yake ya kuwa privates part mpaka kwa ambae ana ownership ( husband)
 
Kama unachukizwa na muonekano wa mguu wa mwnamke, lazima utakuwa ni shoga au hauko rijali. Kajichunguze. Mimi binafsi sina shida kabisa kutazama hii kazi murua ya Mwenyezi Mungu.

Itakuwa ulizariwa na MSIMBE bilababa
 
.......uncivilized society...........
 
Back
Top Bottom