Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

Duh... Kumbe sie watu wa Mza ni Waganda??? Sijajua hili....
 
Kama unachukizwa na muonekano wa mguu wa mwnamke, lazima utakuwa ni shoga au hauko rijali. Kajichunguze. Mimi binafsi sina shida kabisa kutazama hii kazi murua ya Mwenyezi Mungu.

shida si miguu, ni mapaja.. au hujui nguo fupi huishia wapi?.. mlete mkeo home kwangu halafu atakusimulia kama mimi rijali au la
 
Wanaiga wazungu,kiukweli ukienda ulaya wakati wa summer ni balaa,tatizo huku kwetu wanaume wanaingia majaribuni,wadada acheni kuvaa vimini
 
kumbe na wewe ni mchana nguo za wanawake? pole sana, wapelekeni kwenye vyombo husika, hamna mamlaka ya kujichukulia sharia mkononi
Hapo blue ipo mkuu,ushawahi kuskia wananchi wenye hasira kali wanashtakiwa?
Mara nyingi askari polisi wanakutaga hawo wenye hasira kali washavunja sheria (kama kuua wameua,kuvunja wamevunja ama kuchoma moto)na wamesambaratika woote,Zaidi hapo kama wakikutwa ni kupigwa mabomu na maji ya kuwasha basi wanasamabaratika.
Sasa hao vijana,cjui wahuni ni sawa na wanchi wenye hasira kali,ukichaniwa nguo zako utamshika nani?otherways uwe unamjua mmoja baada ya mwingine?
 
Duh... Kumbe sie watu wa Mza ni Waganda??? Sijajua hili....

M7 anamsaidia shost yake maana Kampala - Mwanza ni karibu kuliko Dar - Mwanza, na bunge la katiba ndo hilo limeanza kugawanyika, bora kutumia sheria za nchi jirani kujinusuru
 
Safi sana! Asiefunzwa na babae na ***** hufunzwa na walimwengu.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Wanaiga wazungu,kiukweli ukienda ulaya wakati wa summer ni balaa,tatizo huku kwetu wanaume wanaingia majaribuni,wadada acheni kuvaa vimini
Acheni kuforce vitu mnavyothani ni ukweli. Kabla ya mzungu kuja africa, tulikuwa tunatembe uchi wa mnyama. In fact, ukitaka kudumisha utamaduni halisia ya mwafrica unakuwa unamaanisha kutembea uchi, kuabudu miungu na kuendeleza mawazo ya ushirikina kwa kuenda mbele.
 
shida si miguu, ni mapaja.. au hujui nguo fupi huishia wapi?.. mlete mkeo home kwangu halafu atakusimulia kama mimi rijali au la

Hahaha. Tena mapaja ndiyo mazuri zaidi! Usiniambie wewe yanakuchukiza bana!
 
Navuta picha huenda akawa anafanana BETINA wa gazeti la SANI ndiyo maana hao vijana wamempotezea.

Mkuu acha kashfa, huwezi kumfananisha mwanajf mwenzio na katuni, je na wewe ukifananishwa na DOCTOR LOVE PIMBI au COMRADE KIPEPE utajisikiaje?
 
Kama unachukizwa na muonekano wa mguu wa mwnamke, lazima utakuwa ni shoga au hauko rijali. Kajichunguze. Mimi binafsi sina shida kabisa kutazama hii kazi murua ya Mwenyezi Mungu.

Shoga ni wewe utazamaye bila kuvua. Rujali hutumiza haja za mwili wake kwa kuvua. Subiri utavuliwa.
 
Nilikuwepo maeneo hayo muda huo huyo mwanamke alikuwa na sharobaro wake wameshikana mikono huku huyo demu mapaja mpaka makalio yako wazi alafu kajiroga kapita maeneo ya wapiga debe stand sasa
 
Shoga ni wewe utazamaye bila kuvua. Rujali hutumiza haja za mwili wake kwa kuvua. Subiri utavuliwa.
Asee! Kuishiwa point kubaya sana. Sasa hapo hiyo hoja yako mbona haijaungika vizuri. Causal relationship ya kutazama-kuvua na hali ya kutokuwa shoga iko wapi? Mbona shoga pia anaweza kabisa akatazama na kuvua akiona alichopenda?

Hoja yangu imejikita katika mshangao wangu dhidhi ya mwanaume anayeweza kuchukizwa na umbo la mwanamke hata akafanya violence. Mbona Mungu katuumba tuwe naturally attracted kwa umbo la mwanamke. Nalogoff.
 
Acheni kuforce vitu mnavyothani ni ukweli. Kabla ya mzungu kuja africa, tulikuwa tunatembe uchi wa mnyama. In fact, ukitaka kudumisha utamaduni halisia ya mwafrica unakuwa unamaanisha kutembea uchi, kuabudu miungu na kuendeleza mawazo ya ushirikina kwa kuenda mbele.
walikuwa hawatembei uchi wa mnyama,walivaa ngozi
 
Back
Top Bottom