Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

kumbe na wewe ni mchana nguo za wanawake? pole sana, wapelekeni kwenye vyombo husika, hamna mamlaka ya kujichukulia sharia mkononi
si afadhali ya kujichukulia sheria mkononi badala ya tembo mbugani?
 
Poa sana hao machangudoa wapungue kututamanisha,wanachangia ukimwi kwa asilimia75%
 
Hao vijana wanavunja sheria. Waadhibiwe vikali kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu
 
wanaitwa makatikista na wachungaji na kina BABA UPAKO!

wanafanana kama hawa!

Cassock_s.jpg
Cassock_priest_french_african_s.jpg
2_priests_checking_merchandise_m.jpg


220px-Jan_Sezonow.jpg


YAANI HAPO JUU BADO WANJA NA KIPOCHI TU KWAPANI UNABEBA JUMLA!


teh teh teh teh! Kina anti joseph hao!

Hayo ni mabaibui??!!

Na yale ya kubana wanajifunika mpaka usoni mnaitaje?!
 
Inaonekana hapo ulipo unapiga nyeto . Unawazia ungekuwepo unge finger
 
Huu ni upuuzi na haupaswi kuendekezwa...

Mtu anapovaa nguo anajivalia mwenyewe, hamvalii mtu...

kama ni hivyo basi unamatatizo unaweza hatakuvua barabarani kwani utakua humvulii mtu!!
 
Hata shetani alitumia Biblia kutaka kumshawishi Yesu afuate matakwa tofauti na Mungu, hivyo nawe wafanye vile alivyotaka fanya Lucifa

Ushetani wangu hapa ni upi?? kukemea maadili machafu ndani ya jamii??Mwanamuke kutembea uchi ni matakwa ya MUNGU??? Njoo ufanyiwe maombi……………………………………..Ukiombewa tatizo lako ni dogo hiloooooo………..
 
Wanawake wamepewa hadhi kubwa na mwenyezi MUNGU ya kutuzaa lakini baadhi yao akili zao haziwatoshi. Mwanamke akiwa na mapaja mazuri atataka dunia nzima wajue kuwa amejaaliwa mapaja ya kihivyo. Akiwa na mgongo mzuri atavaa nguo ambazo zinaonesha kuwa mgongo wake mashallah MUNGU kampendelea, akiwa na matiti mazuri na yaliyo simama kama kigori usitegemee avae bra huyo, yaani ndivyo walivyo.
 
Haya yote yapo ndani ya kabrasha moja linaitwa umaskini.
 
Nakumbuka kipindi Kikwete ameingia madarakani mwaka 1995, wakaazi wa Mwanza walianza zoezi la kuwavua nguo wale wanawake waliokuwa wakivaa nusu uchi.Hilo zoezi nililishuhudia nikiwa naishi mtaa wa Rufiji karibu na kituo cha Polisi Mirongo. Nilipofika Nyerere Road nilikuta hilo zoezi likiendelea ambapo walikuwa wakipata msaada kwa kudandia taxi. Zoezi lilikuja kusitishwa lakini kama lingeachwa liendelee hawa akina vimini wasingekuwepo maana wangeacha. Tatizo mtetezi ambaye sijui ni nani aliingilia kati. Dawa yao ni kuwavua ili waache hiyo tabia maana bila hivyo hakuna njia ya kudhibiti. Kama serikali haitaki hao kuvuliwa basi serikali yetu itumie njia ya Yoweri Mseveni wa Uganda.
 
Back
Top Bottom