Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

mwanza ni Tanzania au ni Uganda mpaka hawa vijana wamnatii Mseveni?
Mkuu bado somo la uraia linatakiwa sana,niliona kwenye skonga mwanafunzi mmoja aliulizwa rais wa Tanganyika ni nani akasema ALhassan Mwinyi,
Hivyo nadhani kwa kuwa mZA kuna bidhaa nyingi kutoka uganda zinauzwa kwa hiyo vijana wanadhani rais wa tanzania ni M7.
 
Tangu juzi hapa jijini Mwanza kumezuka kundi la vijana wanaowasulubu wanawake wanaovaa nguo fupi. Muda mfupi uliopita hapa maeneo uhuru karibu na shule ya thakafa dada mmoja kavuliwa nguo zote kabaki kama alivyo zaliwa. Wasamaria walijaribu kumpa khanga nayo ikachanwa,waathirika wakubwa wamekua niwanafunzi wa viwo hususan st Augustine, CBE nk. Vijana hawa wanadai wanatekeleza agizo la rais Museven

hakuna sheria hii tanzania! Ila naunga mkono walichofanya
 
Tangu juzi hapa jijini Mwanza kumezuka kundi la vijana wanaowasulubu wanawake wanaovaa nguo fupi. Muda mfupi uliopita hapa maeneo uhuru karibu na shule ya thakafa dada mmoja kavuliwa nguo zote kabaki kama alivyo zaliwa. Wasamaria walijaribu kumpa khanga nayo ikachanwa,waathirika wakubwa wamekua niwanafunzi wa viwo hususan st Augustine, CBE nk. Vijana hawa wanadai wanatekeleza agizo la rais Museven
Duh.. agizo la mu7 mwanza! Kwani shirikisho la Afrika Mashariki tayari?
 
kumbe na wewe ni mchana nguo za wanawake? pole sana, wapelekeni kwenye vyombo husika, hamna mamlaka ya kujichukulia sharia mkononi

vyombo husika vipi..huko wakifika wanawabandua kesi inaisha dawa ni moja tu chana chana mpaka chupi
 
Tangu juzi hapa jijini Mwanza kumezuka kundi la vijana wanaowasulubu wanawake wanaovaa nguo fupi. Muda mfupi uliopita hapa maeneo uhuru karibu na shule ya thakafa dada mmoja kavuliwa nguo zote kabaki kama alivyo zaliwa. Wasamaria walijaribu kumpa khanga nayo ikachanwa,waathirika wakubwa wamekua niwanafunzi wa viwo hususan st Augustine, CBE nk. Vijana hawa wanadai wanatekeleza agizo la rais Museven
weka picha mkuu!
 
ina maana mu 7 amri zake zinatekelezwa hadi mwanza?!

Sent from my blackberry 9220 using jamiiforums

hongera vijana wa mwanza kwa kutekeleza mawazo mazuri ya m-7, chana nguo zote wabaki uchi wazi nadhani hata wengine hawatatoka au watarudi kubadilisha nguo zao. Ikibidi hata suruali za kubana na hizo wavuliwe uvaaji wa namna hiyo ni kuonyesha kuwa ikijatokea tnzania ikapata rais mwanamke au waziri mkuu mwanamke basi wanawake wataruhusiwa kwenda kazini na vi-bikini
 
Wawachanie kabisa. Tumechoka kudhalilishwa
 
Tangu juzi hapa jijini Mwanza kumezuka kundi la vijana wanaowasulubu wanawake wanaovaa nguo fupi. Muda mfupi uliopita hapa maeneo uhuru karibu na shule ya thakafa dada mmoja kavuliwa nguo zote kabaki kama alivyo zaliwa. Wasamaria walijaribu kumpa khanga nayo ikachanwa,waathirika wakubwa wamekua niwanafunzi wa viwo hususan st Augustine, CBE nk. Vijana hawa wanadai wanatekeleza agizo la rais Museven

agizo la m7 hapa tz linahusikaje labda?na wazungu wanachaniwa?
 
Hahahahaha mbona mi sijavuliwa wamenigwayaaa nini,nilikua maeneo hayo

amesema, "waathirika wakubwa wamekua niwanafunzi wa viwo hususan st Augustine, CBE". labda wewe hujavuliwa kwa sababu si mwanafunzi wa Viwo.
:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::focus:
 
Hata hivyo M7 ni jembe hata akigombea kula yangu anapata.

M7 hawezi kuhitaji kula yako, labda ungesema Kura na hapo ni lazima uwe mganda ndio itakuwa na maana!!!😛ound:😛ound:
 
Sio suala la ku firce vitu bali huo unaitwa USTAARABU!

Na kuiga kitu kizuri na chenye kuleta heshima ktk jamii SIO VIBAYA!
as matter fact NI VIZURI SANA!

Kama suala la kuiga ni baya na huo unaouita uafrika ni mali basi huko nyuma Babu alikuwa anajisaidia mtoni! Na kuchambia majani!

Inakuwaje leo we ujenge choo!?

Na vilevile babu yako alikuwa na imani kuwa wanawake wakila mayai na maini au ile minofu mizuri wanaweza kufunga uzazi!

Sasa inakuwaje leo dada zako wanakandamiza kila kitu!?

Acha kutetea uchafu unaochangia kuisambaratisha jamii!

Au iko siku huo uchafu utakuja kuathiri familia yako.

ila washamba wakiwa wengi inakuwa ni kero, mbona hiyo ni kitu ya kawaida sana kwa watu wenye exposure ya kutosha, bila shaka jamaa wa design hii ni "remnants of evolution". they were supposed to live during stone age and not now if you can just be driven by animal instinct.
huyo M7 anacheza tu na akili za mamburula kama nyinyi kwa ajili ya umaarufu wa kisiasa. lakini mapumziko yake utamkuta beach za Thailand au fukwe za copa cabana!
kwa mtu mwenye ubongo hawezi kushawishika eti kwa sababu mwanamke kavaa nusu uchi, ina maana nyinyi beach huwa hamuendi? au mnaenda beach za watu waliovaa pajama au baibui?
 
Acheni wavae tuone mautamu nyie wavimba macho VP..
Ama nyie cyo malijali hamuoni utamu wake hayo mambo???
Hao ni watu wazima na wameamua kuvaa hivo waacheni...msitake wavae kilocal local hayo ndo maua ya mjini...
Sifa ya jiji mojawapo ni maujanja ya madada kupigilia mini na pedo za ukweli
Tatizo lenu urugaruga unawasumbua na wivu coz mnaishia kuwaona ila kuwapata hamuwez so mnaona bora muwaharibie..
Huo siyo mpango acheni watoke kisasa kama unakwazika kimpango wako lala ndani
Dada zangu jiachieni tuu ila mkae mkijua UKIMWI UPO NA UNAUA

pamoja mkuu, mi hawa warugaruga wananiboa sana, hivi huwa hamuona mtoto akipiga mini huwa anatokelezea!?
endeleeni kukaa hukohuko mwanza na maushamba yenu!!!!!
 
iko wapi serikali? nyie mnaosema wachaniwe ndo washenzi wa tabia,nyambaf zenu!
 
Back
Top Bottom