Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

Nimeshtuka hao walikuwa bavicha. Walipewa viroba sasa juwa kali limezinguwa
 
Mkuu acha kashfa, huwezi kumfananisha mwanajf mwenzio na katuni, je na wewe ukifananishwa na DOCTOR LOVE PIMBI au COMRADE KIPEPE utajisikiaje?
Braza vp mbona unahasira sana, umekula ugolo nini??
 
Utahir umezdi kichwani acha waendelee na operation yao.
 
Hahaha. Tena mapaja ndiyo mazuri zaidi! Usiniambie wewe yanakuchukiza bana!

haha.. ni kweli mapaja yana-stimulate, ila kwa mwanafunzi wa chuo kuvaa nguo kama hizo anakuwa anakosea, sio mahala pake, masela watashindwa kusoma mkuu..
 
hapo theqafa kuna kijiwe cha bodaboda wengi wao ni vijana wa kihaya wakisubiri wateja waendao maeneo ya mji mwema na isamilo ni wavuta bangi na wakorofi sana, yupo mmoja aligoma kupisha fuso la mchanga lilokata breki likamgonga na kumburuza uvunguni ungali wa mita hamsini hivi, kilikuwa kifo cha kutisha mno.
 
wanamvalia nani nguo fupi wakati wanaenda kupiga pindi, wavuliwe kabisa tuone vyote.. safi sana majita

Ukiamua kuwa moto basi kuwa moto, na ukiamua kuwa baridi basi kuwa baridi kuliko kuwa vuguvugu hata MUNGU alisema atakutapika!! ni bora watembee uchi kuliko kushawishi kwa kuvalia nusu uchi au ni bora wangevaa kinadhifu kabisa wapewe sifa bora!
Bora imejulikana wako uchi kabisa na tuone kama kesho watapenda kutembea uchi au wakiwa wamejisitiri vyema!
 
Naunga mkono Hoja yako mkuu. well said.
 
Well done vijana wangemtia na vidole kabisa,,,kama unataka kuwa uchi si usivae nguo tu mbona Beach hamchaniwi nguo? Siku nyingine awe na adabu
 
Acheni kuforce vitu mnavyothani ni ukweli. Kabla ya mzungu kuja africa, tulikuwa tunatembe uchi wa mnyama. In fact, ukitaka kudumisha utamaduni halisia ya mwafrica unakuwa unamaanisha kutembea uchi, kuabudu miungu na kuendeleza mawazo ya ushirikina kwa kuenda mbele.

Na kabla ya kuja mzungu, hatukuwa na elimu ya darasani, hapakuwa na rais, hapakuwa na magari, kompyuta, simu, n.k, mbona hivyo hujasema kama tuvirudie ila kwenye nguo fupi ndo unadai inapaswa kurudiwa?. Mbona umesoma na hukuamua kukaa kama waafrika wa kabla ya wazungu? kama unaonaa kukaa uchi ni haki kwa mwafrika, basi usitumie hata internet na kila cha mzungu urudi enzi za kabla ya wazungu.
 
Tangu juzi hapa jijini Mwanza kumezuka kundi la vijana wanaowasulubu wanawake wanaovaa nguo fupi. Muda mfupi uliopita hapa maeneo uhuru karibu na shule ya thakafa dada mmoja kavuliwa nguo zote kabaki kama alivyo zaliwa. Wasamaria walijaribu kumpa khanga nayo ikachanwa,waathirika wakubwa wamekua niwanafunzi wa viwo hususan st Augustine, CBE nk. Vijana hawa wanadai wanatekeleza agizo la rais Museven

Kwanini msimkamate kijana mmoja na kumchoma moto ili wakome upumbavu huo? Madrasa hiyo.
 
Ni kosa kumvua mtu nguo. Ufupi au urefu wa nguo unategemea na mtu mwenyewe. Hii dhana kuwa eti watu wanaovaa nguo za nusu uchi eti waadhibiwe ni kosa. Ni fashion tu kama zilivyofashion nyingine za vijana. miaka kama 20 iliopita watu walikuwa wakiwaona akina dada wameweka dawa kwenye nywele si walikuwa wanasema nywele zimelambwa na chatu! Ni uhuni tu huo na wachukuliwe hatua, ila kadiri nchi inavyozidi kufunguka tabia hii itaachwa. Mimi napinga kuingilia uhuru wa mtu kwenye mavazi. Sioni tatizo hilo katika nchi jirani ya Kenya, Mozambique, Afrika Kusini na Botwsana nk. Tuwe na uvumilivu
 
Tangu juzi hapa jijini Mwanza kumezuka kundi la vijana wanaowasulubu wanawake wanaovaa nguo fupi. Muda mfupi uliopita hapa maeneo uhuru karibu na shule ya thakafa dada mmoja kavuliwa nguo zote kabaki kama alivyo zaliwa. Wasamaria walijaribu kumpa khanga nayo ikachanwa,waathirika wakubwa wamekua niwanafunzi wa viwo hususan st Augustine, CBE nk. Vijana hawa wanadai wanatekeleza agizo la rais Museven

Ukiondoa ziwa victoria, Mwanza na Uganda vinaunganika kama ilivyo Bukoba na Uganda, hivyo ni rahisi zaidi kwa watu wa Mwanza kuiga mazuri kutoka Uganda.
 
Jamii ikipenda kitu flan hata km hujakitungia sheria itafanya! Na ukitunga sheria ya hovyo ujue jamii haitaiunga mkono na utekelezaji wake nitakuwa mgumu. Sheria imetungwa Uganda bt ujue watanzania wanatamani iwepo!! Though hasa vijana wavunja sheria!
 
Na wavuliwe tu maana watu wenyewe ni wajinga.

Wajinga wakikutana na wajinga wenzao kitakachotokea nacho ni ujinga tu.

Na hao wanawake wamejitakia wenyewe.

Go Tanzania go!
 
Back
Top Bottom