Wanawake wa Kimarangu ni hatari

Jijibu hapo
 

Attachments

  • 1431969670645.jpg
    55.1 KB · Views: 297

Mambo mengine yanakuwa ni ya kabila fulani ila kwenu hili ni makosa ya kibinadamu.

Poa ila hata la ukabila nalo sio la kibinadamu

Mchaga hanunui duka lingine kama mchaga wao yupo pembeni.

Mpkaa mna neno la kibaguzi mtu ambaye hajazaliwa moshi la chasaka.

Yani ni bora mngeenda Kenya ndo kuna mnaofanana nao kwa ukabila
 
Mi siyo mchaga ila haipiti siku bila kujadili wachaga, tatizo ni nini? Labda mnataka tunaowapenda wachaga tuwaoe nyie sasa

Jamaa wapo tofauti na watanzania wote unaambiwa hawana utu.ni bora wangeenda kenya hawa.
Msiba ukitokea kama hauna hela haupewi taarifa hata kama ni baba ako kafariki.mchaga mzuri aliyefariki
 

Endelea kujifariji,...
 
Generalization epidemic.yaani watu ukabila udini na ubaguzi bado haujawatoka tu.na story za vijiweni.si ajabu anayeongea haya hawajui hao wamarangu zaidi ya kumi.akili finyu hizi

Mfano Mbowe kuweka wachaga wote kwenyesafu ya uongozi chadema sio ukabila au ni stori za vijiweni.

Na mengi kujaza wachaga IPP nayo vipi.mna ukabila ni bora mngechukuliwa na Mwingereza mwende kenya mtuache na mjerumani.

Mchaga anayejali pesa kuliko utu pia wapo tofauti na watanzania wote mchga mwenyewe anakuambia kuwa mzuri ni aliyekufa.

Mie kwa ukabila ndo nawakubali CHASAKA
 

Ni mchaga gani chadema ambaye ni mzembe hana hoja yoyote???Ni mfanyakazi gani wa mengi aliyepewa kazi akiwa hana sifa yakupata ajira?
 

Ukabila hapa full,eti mlima upo kwenu na sio tanzania.kwahiyo umewasaidia nn na kama ni watalii serikali inachukua kodi afu inajenga kisima na hospital kigoma.yani mngekuwa wakenya hakuna namna mana mnafanana nao sana kwa ukabila wao.


Marealle alikuwa mkabila na ndo mana hakupewa ila Nyerere alipewa wa tanganyika nyie mlitaka wa kanda yenu,yani mlivyo tribalism ni zaidi ya Rwanda
 
Dawa ni kutokuwaoa tu basi inaonesha wanafaa kuolewa na benki na au atm
 

Ni kweli pia nimechekaje
 
Na wakibosho tuna tatizo kwani...yani wakibosho sisi niwazunguu....sikuuwi nataka tuzeeke wote,ila pesa isipoonekana nakuchoma kisu haki ya ruwa mpaka useme pesa umedondosha wapi...kama ni kwa mchepuko utasema tuu

Kama haujaolewa ni pm natafuta mkibosho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…