Nilikua nauona huu Uzi ni wa kizushi ila ukweli nimeamini from vivid example ya Mimi mwenyewe!
Yaliyonikuta ni Mungu tu anajua maana sikuamini kama ningesalimika kwa lile dubwana la Kimarangu mixer Mkibosho. Ahsante Mungu kwa kunionyesha TRUE COLOR ya huyu mwanadada maana kwa jinsi alivyokua akiji-pretend bado siamini kama ni yeye Mnyama vile.
Wadau wangu wa hili jukwaa imeandikwa muishi na wake zenu kwa akili. Ila kwa mwanamke wa Kimarangu inahitajika akili ya Ziada zaidi ya hii iliyotajwa huku kwenye hivi vitabu vitakatifu.
Nashukuru nimetoka salama wa salmini, thanks God!