Wanawake wa Kimarangu ni hatari

Wanawake wa Kimarangu ni hatari

hahahahhahaha, wala usijichoshe kunichukia mtu kama mie, mana sina time kabisaa na watu kama wewe, nawapotezeaga sanaa, halafu unachukia upepo?:A S-confused1: mana nyamayao kwako ni kama upepo tu, mie nakupendaje :busu

Chaaa lekana na itondo maa inyi ngaalika Morang'u chaa wamorang'u wai weecha kyo kitewe.
 
duuu nikajua hii tabia wameshaishaa maana nilikuwa nasikia tuu kwa jiran duu ni hatari saaana hawaa wenzetuuu mm nachukulia wachaga wotee n hatar hiii inasikitisha saana poleeen saana wafiwaa kwa msiba uliowapata duuuu wachgaa angalie msijee mkakosa waaumee wa kuwaoa maana kwa hali hii naogopa hata kuoa mchaga nina mpenz wangu mchaga naogapa hata kumpa haiii kwa halii hii ngoja nisipee

Kwani uchagani hakuna wanaume? Acha mambo ya kusikia hivi kwa hiyo ukioa kabila lingine hutakufa kabisa mmmm.
 
usipoelewa usiulize!!!
mchaga wa aina yoyote na mchaga mwenzie apo poa au mchaga na mpare ila ingia mswahili uone!!!!
 
Hata Young D Aliimba:"dady Pia Alinihusia NISIOE DEMU WAKICHAGA Nikamwambia Maisha Karata Akaniambia Nani Anachanga!"
 
Hata mtu akuchukie vp,alichukie kabila lako atamke awezalo,hawez kuziba riziki yako...kumbuka mamndiko ya Mungu yanasema kabla sijakuumba nalikujua...so wa marangu riziki iko pale pale hata iweje...Kwan wanaokufa ni waliooa wamachame na wa marangu..???ni wanawake wangap wa kichagaa wanaolewa wanaachwa moshi waume zao wanakuja mjini kwa kisingizio cha kutafuta pesa then wanarudi hoi au maiti kisa ukimwi?Nenda moshi kaulize historia za waliokufa kama hutasikia kafia sijui dar,mbeya na kwingne na mke alimuacha moshi...simama hata njia panda ya himo angalia maiti zinazoenda moshi na uliza wamekufa na nn...achen mambo potofu kuna mambo ya maana zaid ya kashfa ya ajabu ajabu kwa makabila au jinsi...
 
Nimegundua Hakuna wanaume wanaoogopa wachaga wote wanawake kama wanaume wa kanda ya kusini mwa TZ
 
Hahaa..wachaga ndo habar ya town..tutake radhi bhana sie si wauaji..ni wajanja tyuu.na ukitaka maendeleo oa mchaga..

Hivi hujiulizi kwanini wanaume wengi wa kichagga hawaoi kwao? Hudhuria harusi nyingi ugundue hilo,Tafakari...chukua hatua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom