Mom Fay
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,059
- 316
Naleta mkanda mzima punde, sitani si kwa mwanamke mmoja tu wa kimarangu ila nawajua kama 7 hivi, na ni nuksi hawa, sishauri ndugu au rafiki aoe huko, mama yangu,
Mr...samahani lakini kama ntakukwaza lakini kiukweli the way ulivyo,nafasi uliyonayo kwa taifa ukichanganya na elimu yako mpaka hapo unashindwa kweli kufikiri jambo dogo kama hili?!..sikutegemea wewe ndo wa kuleta thread kama hii jukwaani!.
..anyway! wa~marangi hatupo hivo,hizo ni imani za zamani sana lakini mbona mama zetu waliolewa na wapo kwenye ndoa zao nzuri hadi leo?!,makosa mengine ni ya kibinadamu tu,lakini hamna anaeua mtu kisa mali kutokana na kabila...ukiona mtu kafanya hvo ni tabia yake usisingizie kabila kwani hata mwingne anaweza fanya na asiwe mmarangu!,.
usituharibie huku hadhi na sifa ya kabila letu,kumbuka jf ni sehemu tunakutana watu wengi unataka wamarangu tukimbiwe au?!..namshukuru mungu hubby wangu hana imani hizo.