Wanawake wa Kimarangu ni hatari

Wanawake wa Kimarangu ni hatari

Jijibu hapo
 

Attachments

  • 1431969670645.jpg
    1431969670645.jpg
    55.1 KB · Views: 292
Mr...samahani lakini kama ntakukwaza lakini kiukweli the way ulivyo,nafasi uliyonayo kwa taifa ukichanganya na elimu yako mpaka hapo unashindwa kweli kufikiri jambo dogo kama hili?!..sikutegemea wewe ndo wa kuleta thread kama hii jukwaani!.

..anyway! wa~marangi hatupo hivo,hizo ni imani za zamani sana lakini mbona mama zetu waliolewa na wapo kwenye ndoa zao nzuri hadi leo?!,makosa mengine ni ya kibinadamu tu,lakini hamna anaeua mtu kisa mali kutokana na kabila...ukiona mtu kafanya hvo ni tabia yake usisingizie kabila kwani hata mwingne anaweza fanya na asiwe mmarangu!,.

usituharibie huku hadhi na sifa ya kabila letu,kumbuka jf ni sehemu tunakutana watu wengi unataka wamarangu tukimbiwe au?!..namshukuru mungu hubby wangu hana imani hizo.

Mambo mengine yanakuwa ni ya kabila fulani ila kwenu hili ni makosa ya kibinadamu.

Poa ila hata la ukabila nalo sio la kibinadamu

Mchaga hanunui duka lingine kama mchaga wao yupo pembeni.

Mpkaa mna neno la kibaguzi mtu ambaye hajazaliwa moshi la chasaka.

Yani ni bora mngeenda Kenya ndo kuna mnaofanana nao kwa ukabila
 
Mi siyo mchaga ila haipiti siku bila kujadili wachaga, tatizo ni nini? Labda mnataka tunaowapenda wachaga tuwaoe nyie sasa

Jamaa wapo tofauti na watanzania wote unaambiwa hawana utu.ni bora wangeenda kenya hawa.
Msiba ukitokea kama hauna hela haupewi taarifa hata kama ni baba ako kafariki.mchaga mzuri aliyefariki
 
I am a proud chagga tena wa marangu paradise ni kuzuri sana marangu kwetu na sisi ni wazuri pia kwenye kila idara !. As a matter of fact very tribalistic when it comes to dating. I don't date vyasaka.

Namshukuru Mungu kwa kuniumba mchagga. Tena sana kabisa.

Haika Ruwa, Mndumi oko. Aika sana papa!

Endelea kujifariji,...
 
Generalization epidemic.yaani watu ukabila udini na ubaguzi bado haujawatoka tu.na story za vijiweni.si ajabu anayeongea haya hawajui hao wamarangu zaidi ya kumi.akili finyu hizi

Mfano Mbowe kuweka wachaga wote kwenyesafu ya uongozi chadema sio ukabila au ni stori za vijiweni.

Na mengi kujaza wachaga IPP nayo vipi.mna ukabila ni bora mngechukuliwa na Mwingereza mwende kenya mtuache na mjerumani.

Mchaga anayejali pesa kuliko utu pia wapo tofauti na watanzania wote mchga mwenyewe anakuambia kuwa mzuri ni aliyekufa.

Mie kwa ukabila ndo nawakubali CHASAKA
 
Mfano Mbowe kuweka wachaga wote kwenyesafu ya uongozi chadema sio ukabila au ni stori za vijiweni.

Na mengi kujaza wachaga IPP nayo vipi.mna ukabila ni bora mngechukuliwa na Mwingereza mwende kenya mtuache na mjerumani.

Mchaga anayejali pesa kuliko utu pia wapo tofauti na watanzania wote mchga mwenyewe anakuambia kuwa mzuri ni aliyekufa.

Mie kwa ukabila ndo nawakubali CHASAKA

Ni mchaga gani chadema ambaye ni mzembe hana hoja yoyote???Ni mfanyakazi gani wa mengi aliyepewa kazi akiwa hana sifa yakupata ajira?
 
Siku zote ukiwa Juu utatizamwa kwa jicho tofauti. Wabongo siku zito wanapenda waone ukizama.
Wachaga tupo juu tena, Mlima Mrefu kuliko yote Afrika upo Kwetu, watoto Wazuri, Wasomi, Wachapa Kazi, Matajiri, Wafanya Biashara Wakubwa Wanapatikana K'Njaro. Hili halina Ubishi.
Wanao waponda ni Makaka ambao wanamadada na wamekosa Mashemeji!
Ukioa K'njaro umepata Kila Kitu. Acheni Majungu na acheni kuwachafua Dada Zetu.
Tupo Juu na Tutaendelea Kuwa Juu Kama Mlima Wetu.
Poleni Mnao hangaika kutuchafu. Muda mnao hangaika mngefanya jambo la maendeleo.
Wachaga Mliopo humu hebu tufikirie zama zile za Marreale kudai uhuru wa wachaga, turudi hapo tuone Mareale alikuwa anataka nini.
Aikenyi Mbee

Ukabila hapa full,eti mlima upo kwenu na sio tanzania.kwahiyo umewasaidia nn na kama ni watalii serikali inachukua kodi afu inajenga kisima na hospital kigoma.yani mngekuwa wakenya hakuna namna mana mnafanana nao sana kwa ukabila wao.


Marealle alikuwa mkabila na ndo mana hakupewa ila Nyerere alipewa wa tanganyika nyie mlitaka wa kanda yenu,yani mlivyo tribalism ni zaidi ya Rwanda
 
Dawa ni kutokuwaoa tu basi inaonesha wanafaa kuolewa na benki na au atm
 
Siku zote hamna binadamu anayekubali mapungufu yake,hata ktk familia yenu unaweza ukajua kabisa baba yako ni mchoyo ama tapeli ila akatokea mtu akuambie kuwa mwambie baba yako aache tabia yake ya uchoyo ama utapeli lazima utamtetea baba yako tu.
siku zote ukiwa sehemu ya kitu ni vigumu kukubaliana na ukweli au kukubali mapungufu ni wachache sana wanaweza fanya hvyo coz ni nature ya mwadamu.
Unadhani rizone anaona mapungufu ya baba yake?,jibu ni hapana!

Ni kweli pia nimechekaje
 
Na wakibosho tuna tatizo kwani...yani wakibosho sisi niwazunguu....sikuuwi nataka tuzeeke wote,ila pesa isipoonekana nakuchoma kisu haki ya ruwa mpaka useme pesa umedondosha wapi...kama ni kwa mchepuko utasema tuu

Kama haujaolewa ni pm natafuta mkibosho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom