Yap nimetokea same! Vp unaijua masandare ya mbali?
ila watamuuuu...nilikuwa nalo moja pale nmb tanga lina ------ ya hatariiiii....aaagh acha niuwawe tu bana
wivu tu unakusumbua>>>> unatamani ungekua mchaga ...lakini ..too bad ..Huwezi badilisha kabila. Kama wewe kabila lako ni Mtumbua utaendelea kuwa Mtumbua, na utaendelea kuwa na tabia za Kitumbua.... Tuache Wachagga Tukisonga Mbele.wachanga wote watoto wa mama mmoja
kwa experience yangu wachaga 99% wana roho mbaaaaaaya sana na hawana upendo ni wabinafsi na wanaroho za kwanini sana wanawake kwa wanaume
Nop naijua ya same,nilisoma pale same sec.
Your are my schoolmate too! Mimi nilisoma advance nilimaliza 2007. vp wewe ulimaliza mwaka gani? Advance au olevel? Sisi ndo wale tulikuwa tunagombana na mkwizu.
Nilimaliza advance mwaka 2011 mkuu.
okay mimi niliwahi kidogo seven years back. Mazingira yalikuwa magumu sana. Uji unakosekana kisa maji. Nilisoma PCB Kipindi hicho kibacha bado.
kwa experience yangu wachaga 99% wana roho mbaaaaaaya sana na hawana upendo ni wabinafsi na wanaroho za kwanini sana wanawake kwa wanaume
Nadhani mpaka leo mazingira bado no magumu,kufua ni mpaka uende km kadhaa,maji yakija na gari la shule ukizubaa dakika 2 yamekeisha.nadhani wanaotoka pale hawana haja ya kwenda j.k.t
matapeli,wezi,majambazi,wauaji.yani humu haipiti cku bila wachaga kusemwa,wafuatani mkaolewe nao nyie wote