Wanawake wa Kimarangu ni hatari

Wanawake wa Kimarangu ni hatari

Siku zote hamna binadamu anayekubali mapungufu yake,hata ktk familia yenu unaweza ukajua kabisa baba yako ni mchoyo ama tapeli ila akatokea mtu akuambie kuwa mwambie baba yako aache tabia yake ya uchoyo ama utapeli lazima utamtetea baba yako tu.
siku zote ukiwa sehemu ya kitu ni vigumu kukubaliana na ukweli au kukubali mapungufu ni wachache sana wanaweza fanya hvyo coz ni nature ya mwadamu.
Unadhani rizone anaona mapungufu ya baba yake?,jibu ni hapana!

Hapo umenena mkuu,cjaona hata mmoja aliyekubali hata kama ukweli anaujua.naamini katika wote humu hakosekani walau aliyeua au best yake kaua mume.ila still atasema ni uongo
 
aisee ndenisa una jina kama la bibi yangu na mdogo wangu..

Waambie hawa haya maoni wangeyatoa kwenye mabaraza ya katiba ili yaingizwe kwenye katiba kabisa. Hapa wanatoa povu tu


Haswaa umenena...wawapelekee akina Sitta huko wayafanyie kazi. Wanapiga kelele tu hapo bila sababu
 
99.9% ya wamaranguu na wamachame wanawake ni hatari nuksi kabisa nduguyo akioa haya makabila jua kabisa ni "RoBO MFU" Genes zao zipo hivyo lazima wata ku ufo..saro tuuu! na karibu 30% ya single mumy's ni wao.

na econometric yako unaongea ushuzi ushuzi tu..analysis gn umefanya??labda kama umeweka residual factor constant.
 
Mwanamke akishakuwa mchaga hawez kuwa mke wangu.. uo mchepuko tu
 
Na wakibosho tuna tatizo kwani...yani wakibosho sisi niwazunguu....sikuuwi nataka tuzeeke wote,ila pesa isipoonekana nakuchoma kisu haki ya ruwa mpaka useme pesa umedondosha wapi...kama ni kwa mchepuko utasema tuu
 
Na wakibosho tuna tatizo kwani...yani wakibosho sisi niwazunguu....sikuuwi nataka tuzeeke wote,ila pesa isipoonekana nakuchoma kisu haki ya ruwa mpaka useme pesa umedondosha wapi...kama ni kwa mchepuko utasema tuu

Wale waleee
 
Naleta mkanda mzima punde, sitani si kwa mwanamke mmoja tu wa kimarangu ila nawajua kama 7 hivi, na ni nuksi hawa, sishauri ndugu au rafiki aoe huko, mama yangu,

mmmmmh nina mpenzi wangu wangu mwaka wa sita sasa.....
Anyway kama coin ilivyo kuna bichwa na mwenge.... mkuu umekutana na Bichwa,,,,, me nimekutana na Mwenge ,,,,
 
duh, mambo ya kusema tabia kimakabila yalishapitwa na wakati, lakin kuna makabila hata ujitahidi vipi hayapambanuki na tabia fulani, mimi kidogo tu niuvae mkenge nikiwa kijana mbichi, isingekuwa roho ngumu sijui leo ningekuwa wapi. rafiki yangu wa karibu yalimkuta si madogo, aliugua sana miezi kadhaa yuko ICU, mama wa watu kaona hii ngoma haieleweki, siku moja kenda kumwona wodini kamwabia "sasa baba nanihii naona wewe sasa hivi haueleweki, mimi nataka niangalie ustaarabu mwingine, tunafanyaje"? jamaa bila hiyana kamwambia we nenda tu nyumbani kauze kila unachoweza hata nyumba we uza fanya unachotaka, mama wa watu kama utani katoka kaenda kuuza kila kitu katambaa, mungu siyo yusufu jamaa akapona akarudi mtaani akanyoosha tena mambo yake, yule mke kumbe alishamaliza kila kitu na mwanamume aliyempata alimpiga mateke.....aaargh, wacha niishie hapo haina maana kuendelea!

Mkuu naomba umalizie story yako.
 
Naona shemeji zangu wachaga wamekuja juu kweli..lakini kuna kitu cha kujifunza hapa..
 
Naleta mkanda mzima punde, sitani si kwa mwanamke mmoja tu wa kimarangu ila nawajua kama 7 hivi, na ni nuksi hawa, sishauri ndugu au rafiki aoe huko, mama yangu,
huku kila cku wachaga,wanawawasha sana nini,si mkaolewe nao tu,mtulie,mnawashwa nao nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom