Wanawake wa Kimarangu ni hatari

Wanawake wa Kimarangu ni hatari

Kila kabila lina wema na waovu. Kama u mwema na hupendi uovu huwezi tetea waovu na uovu wao kwa sababu tu wao ni sehemu ya kabila lako. Acheni waovu wasemwe uovu wao kwa wakati huu na wema watasifiwa wema wao wakati mwingine. Majivuno ya kujipa mamlaka ya kutetea kabila zima wakati wa kuwasema waovu na uovu wao ni kujibebesha matusi, kebehi na vijembe vya walioumizwa na wanaojua maumivu ya uovu huo.
 
Tuambie basi ww mleta mada mwanamke halali wa kuoa ni nani
 
si wote
 

Attachments

  • 1431721019976.jpg
    1431721019976.jpg
    24.1 KB · Views: 289
Hivi mimi huwa nashindwa kuelewa, ni wazuri kwa sura na maumbo asikwambie mtu! shida ni nini???? sitasahau nilipo alikwa katika usuluhishi wa mtu na mchumba wake wa kimarangu! tuko kikaoni moshi mjini kumbe demu katuma ndugu zake wafungashe vitu vyote vya kijana wa watu! majirani kumpigia jamaa simu kuuliza kama nikweli amewatuma tulistaajabu!

To be honest wachaga tuishi nao kwa akili,...unakuta mwanamke anakwambia 'nikishapata Mali basi Mwanaume wa nini?'...
 
..heri umeona na ww, cjui wana roho gani hawa, ukiwaona huwezi amini, na wanageuka siku moja tu, mm pia nina jamaa yangu yuko NIDA Dar, kamuoa mmarangu mwaka 2009, huwezi amini mwaka jana oktoba ndoa ilivunjika kama kijiti kwa taabu jamaa alizopata, alikuwa anamwibia bank kidogo kidogo na akawa na account pembeni na akawa ana mtoto kabla ya ndoa ila baada ya ndoa kuvunjika jamaa akaja jua yote. si vizuri kusema kabila zima ila hawa ni danger

...Have a name,...
 
marangu ni shida! mimi kaka yangu ( first born wetu) alipata demu wa kimarangu, bro wangu alikuwa lawyer pale chamber ya Adv. Rweyongeza wakati huo ipo pale Haidery Plaza.. Tulikuwa tunaishi ubungo, bro akafungua kimini supermarket , akanunua kausafiri na kiwanja akanunua kule Chasimba... Anaitwa Grace Machange, alikuwa anakuja home mara kwa mara, mara akaanza kuforce uchumba na ndoa, mara akasema ana mimba! Aisee bro alienda puta, akarudi kijijin akaenda kwa kina Machange kujitambulisha, na wao wakaja home! Demu akasema ana mimba hivyo hawezi kukaa peke yake! Broh akamwambia njoo tuishi wote wakati ishu za harusi zinaendele! Kosa alilofanya Braza ndilo hilo la kumkaribisha....

Na mm nilikuwa naishi hapo, wakati huo nimemaliza form six nasubiri kujiunga chuo, lahaulah bakwata, nlikuwa naosha vyombo, napika kama mwanamke,bro akiwepo mnafiki kweli, kila kitu anafanya yeye!

Mwezi haukuisha wakiwa wametoka out, ucku wa saa kumi napigiwa simu bro amepata ajali na amefariki na alikuwa na Grace, kwenye gari lakini yeye hata mchubuko hana, gari imepasuka tairi ya nyuma tu, ila nzima kila kitu, bro alikuwa na alama kichwani. Baada ya msiba, akarudi fasta DSM akang'ang'ania mali zote, kile kigari, kimini supermarket na kiwanja kule Boko-chasimba! Na mimba hana tena...

Iliniuma sana, nililia sana, baba alisema tusioe marangu, bibi yangu sisi ni kutoka marangu! Lakini baba na bibi walikataa tusioe huko! Toka siku hiyo nawaangalia kwa jicho la pekee hao watu!

Cku moja Grace Machange akaingia kwenye 18 zangu, hasira zangu zote nikammalizia kwake... Nikuambie nn nlimfanya, alituma sms za matusi kumtukana dada yangu, wanajua wenyewe walikuwa wanatukanana nini, ila yeye alitoa matusi makubwa sana..nikampeleka polisi mbezi mwisho, ushaidi msg..akapelekwa mahakamani! Mambo yakamuwia magumu akaomba turudi mezani, ikamtoka milioni 2! Shenzi kabisa

Dont try this, at Marangu or anywhere if has origin from Marangu even did not born or reside there!
Nimekuelewa Sana,...
 
''' Inasikitisha ndugu, pole sana sana, mm personally nawajua wanaume 4 ambao sasa ni marehemu, ambao wake zao wako hai na ni wa marangu, ila kisa cha ajabu kuna mmoja alivamiwa akiwa njiani na huyo mkewe miaka kama 4 imepita waka mwacha mke mzima na wakanyanganya cm tu ya marehemu, na mke yuko fesh hata kuguswa, na jamaa alikuwa na duka mola jipya la matairi ya jumla mtaa wa swahili kkoo kama sikosei, hawa mm nimesha washtukia. uki make pesa wanakudedisha

Its true Kamasiyo kwa Vituko basi Sumu au Kuvamiwa.
 
Kila siku wachaga, wana jf kuna kundi maalumu huku jf wapo kwa ajili ya kuendekeza chuki dhidi ya makabila, tumeshaona kila siku ni wale wale, sasa Mr. President naomba nikuoe wewe

Hiyo ni Hali Halisi mmetanguliza mali na pesa kuliko Ubinadamu,..wacha tuwaseme Tu!...
 
Last edited by a moderator:
.Wamachame wao kuua waume ukishapata pesa LIKO WAZI KABISA, uko sahihi hata wamachame wanaume hawaoi kwao, hawa ni alshabab ukipata pesa wanakudedisha, ila sasa wamarangu usiombe, wako kama kimya kimya na watu wa imani hiv za dini huwezi dhania atakudedisha ukipata mshiko, unajua heri kumjua adui mapema kuliko kukaa na kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu.

Kweli kabisa,....
 
kiukweli ndoa za wachaga ni ngumu asikwambie mtu. Inashauriwa waoane wao kwa wao,ingawa wanawake wanawakimbia wanaume kwa sababu ya mfumo dume sugu.

Wanawake wa Kichaga wababe ile kiroho ngumu!....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom