mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,944
- 43,358
Pole kwa maswaibu yaliyokukuta mkuuSio watu aisee.....Mungu anisamehe siwapendi kweli
Pole kwa maswaibu yaliyokukuta mkuuSio watu aisee.....Mungu anisamehe siwapendi kweli
Asante sanaPole kwa maswaibu yaliyokukuta mkuu
Naleta mkanda mzima punde, sitani si kwa mwanamke mmoja tu wa kimarangu ila nawajua kama 7 hivi, na ni nuksi hawa, sishauri ndugu au rafiki aoe huko, mama yangu,
Huyu ni fa.laEeh Mods Funga Hii Kitu inanichefua!!. tumeshachoka kujadiliwa kila siku wachaga wachaga,tumekosa nini?!..wanaotujadili wose ni maisemboooo.....tena tondo kapisaaa!!
najivunia kuwa mchaga tena mmarangu...na namshukuru mungu!!.
Moteree...tere tere!.
"HAIKA RUWA UKO RUWEWU.,!" HAIKA SANA.
Wana sura nzuri halafu wengi ni weupe.lakin mbona soko la kupendwa hawa viumbe wa pande hizo wapo juu//
Duuh mkuu...heri umeona na ww, cjui wana roho gani hawa, ukiwaona huwezi amini, na wanageuka siku moja tu, mm pia nina jamaa yangu yuko NIDA Dar, kamuoa mmarangu mwaka 2009, huwezi amini mwaka jana oktoba ndoa ilivunjika kama kijiti kwa taabu jamaa alizopata, alikuwa anamwibia bank kidogo kidogo na akawa na account pembeni na akawa ana mtoto kabla ya ndoa ila baada ya ndoa kuvunjika jamaa akaja jua yote. si vizuri kusema kabila zima ila hawa ni danger
Na ukiwa maskini pia hawakukubali.kweli hawa watu hata mimi nawaogopa sana....... Labda uwe maskin ila ukiwa nazo lazima akutembeze ili azimilik yeye
wamarangu mbona wako poa tu,labda alikutana na mtu ana genes za wapalestinaUkitaka UAGE DUNIA, pata mali, mkeo au mpenzi unae ishi nae awe Mmarangu, kisha anza figisu figisu na vurugu hata za mapenzi tu.. uta R.I.P, hatari sana...
Ni wa Machame yule.Hivi yule Ufufuo wa Saro ni wawapi nae?
kwani nao ni balakhaaaa mkuu?Ni wa Machame yule.
Acha mawazo potofu!Duh....sasa mbona mwenzenu nishapeleka posa kwa wakwe zangu Wamachame wiki ya pili hii sasa?sijui nikaidai?maana ni kama naenda kukinunua kifo vile!