Wanawake wa Kimarangu ni hatari

Wanawake wa Kimarangu ni hatari

Waacheni wadada wamarangu watulie jamani....totoz nyeupeeee laini hazina mfupa
 
WE ---- SI WOTE...

Wangekuwa angekuwa mwanamke wa kichaga au mwanaume wa kichaga kamkata albino mkono MNGEMUANDIKA wanaume wa kichaga / wanawake wa kichaga ballaa...Mbona wengine wanafanya haya mambo hawaandikwi mnawaona Wamarangu tuu?

KOMA WEEEE

*****************

Naleta mkanda mzima punde, sitani si kwa mwanamke mmoja tu wa kimarangu ila nawajua kama 7 hivi, na ni nuksi hawa, sishauri ndugu au rafiki aoe huko, mama yangu,
 
Watu wengine nuksi sana. Yaani Mtu akifa tu inakua tatizo kwa sababu tu kaoa Mmarangu? Ulitaka uishi Milele? Kwani ulilazimishwa kuoa Mmarangu? Si ulimuona ni bora kuliko wengine wote ndio maana ukamuoa?

Watu wengine wivu unawasumbua tu kifuani mwao, Wanatafuta kila njia kuwachokonoa wachaga. Mara museme Wachaga ni Wabaguzi, Mara Museme wanasaidiana wao kwa wao tu, Mara Museme wanajenga kwao tu na sasa mumekuja na hila nyingine kua eti wanaua waume zao? Jamani Hii Itaisha lini?

Mlianza na kuwasasambua Wamachame kwa muda mrefu sasa naona mmeamua kuhamia kwa Wamarangu. Kwani kinachowapeleka kuoa Wamarangu ni nini? si Kiherehere chenu wenyewe? Wee kama siku zako za kufa zimefika kufa Kimya Kimya na acha kunyooshea Wamarangu vidole. Kwani waliooa kabila nyingine hawafi? Mnaniudhi sana watu munaowachawia Dada Zetu.
 
kila siku wachaga wachaga hebu waacheni dada zetu kama mnaushaidi nendeni mahakamani muwafunge mmeanza na wamachame sasa wamarangu wengine awajui ata marangu inaanzia wapi anakuambia msae ni marangu dada zangu ueni kabisa hawa wapumbavu
 
mi mmakonde ila nawajua wachaga kama watu wanaopenda kutafuta wakati wote wa maisha yao! kuhusu suala la kuua hilo nalisikia tu kwa watu! nawakubali sana siyo wengine kutwa kukaa vibarazani kupiga umbea!!
 
na hao wanaowaendea kwa waganga ili muwasikilize na kutowasikiliza wazazi wenu wala ndugu ili muwaachie mali zenu mnazotafuta kwa jasho usiku na mchana huku wao kutwa kucha wako vibarazani wakipaka piko hamuwaoni.??? au huo ni utu??
Kabla hujamnyooshea mwenzio kidole hakikisha wewe upo sawa...
Mimi ni pureee machame woman sina mchanganyiko hata tone..I am loving and lovely...najijua na ninaambiwa na wala sioni huo uuaji ndani yangu.
Kama yamekukuta kweli pole ila kabila lisitajwe kuwa chanzo...kama hayajakukuta kaa kimya usikae kushabikia eti wamarangu mara wamachame, hebu nenda katafute pesa huko utoke kwenye umasikini uache kuomba lifti za akina Mama Mushi na Mama Minja na Mama Nkya kila siku.
Nina uhakika hapa kuna watu wazima mlionizidi umri sana ila nimewazidi ubora wa mawazo mliyochangia.
Hata ukikaa milele ukitoa tangazo la roho mbaya za wachaga haitarudisha hao unaodai wamefariki we kama hutaki kuoa uchaggani tafuta kwingine sio unakaa kupiga kelele kutangaza ujuzi wa wenzio.
Natamani kuendelea ila nawahi kuwasilisha order ya kuku kwa Mama Kileo.
Lwaaro kusha moose
 
99.9% ya wamaranguu na wamachame wanawake ni hatari nuksi kabisa nduguyo akioa haya makabila jua kabisa ni "RoBO MFU" Genes zao zipo hivyo lazima wata ku ufo..saro tuuu! na karibu 30% ya single mumy's ni wao.
 
Wamarangu hoyee,umetendwa mpaka basi loh lazima utuone nuksi
 
Siku zote hamna binadamu anayekubali mapungufu yake,hata ktk familia yenu unaweza ukajua kabisa baba yako ni mchoyo ama tapeli ila akatokea mtu akuambie kuwa mwambie baba yako aache tabia yake ya uchoyo ama utapeli lazima utamtetea baba yako tu.
siku zote ukiwa sehemu ya kitu ni vigumu kukubaliana na ukweli au kukubali mapungufu ni wachache sana wanaweza fanya hvyo coz ni nature ya mwadamu.
Unadhani rizone anaona mapungufu ya baba yake?,jibu ni hapana!
 
duh, mambo ya kusema tabia kimakabila yalishapitwa na wakati, lakin kuna makabila hata ujitahidi vipi hayapambanuki na tabia fulani, mimi kidogo tu niuvae mkenge nikiwa kijana mbichi, isingekuwa roho ngumu sijui leo ningekuwa wapi. rafiki yangu wa karibu yalimkuta si madogo, aliugua sana miezi kadhaa yuko ICU, mama wa watu kaona hii ngoma haieleweki, siku moja kenda kumwona wodini kamwabia "sasa baba nanihii naona wewe sasa hivi haueleweki, mimi nataka niangalie ustaarabu mwingine, tunafanyaje"? jamaa bila hiyana kamwambia we nenda tu nyumbani kauze kila unachoweza hata nyumba we uza fanya unachotaka, mama wa watu kama utani katoka kaenda kuuza kila kitu katambaa, mungu siyo yusufu jamaa akapona akarudi mtaani akanyoosha tena mambo yake, yule mke kumbe alishamaliza kila kitu na mwanamume aliyempata alimpiga mateke.....aaargh, wacha niishie hapo haina maana kuendelea!
 
Sio wote bana, mimi naamini kila mahali kuna tabia ambazo sio nzuri machoni pa watu. But ikitokea mtu umepata nafasi ya kupata story zinazofanana kutoka pande hizo basi hujumlisha na wengine waliobaki.
Wapo watulivu kabisaaa.
WE CALL IT "FALLACY OF GENERALIZATION":fear:
 
99.9% ya wamaranguu na wamachame wanawake ni hatari nuksi kabisa nduguyo akioa haya makabila jua kabisa ni "RoBO MFU" Genes zao zipo hivyo lazima wata ku ufo..saro tuuu! na karibu 30% ya single mumy's ni wao.

Hata ukienda mbeya wanawake wajane wengi. Ukiuliza mume aliuwawa na mke! Kisa mali!
 
na hao wanaowaendea kwa waganga ili muwasikilize na kutowasikiliza wazazi wenu wala ndugu ili muwaachie mali zenu mnazotafuta kwa jasho usiku na mchana huku wao kutwa kucha wako vibarazani wakipaka piko hamuwaoni.??? au huo ni utu??
Kabla hujamnyooshea mwenzio kidole hakikisha wewe upo sawa...
Mimi ni pureee machame woman sina mchanganyiko hata tone..I am loving and lovely...najijua na ninaambiwa na wala sioni huo uuaji ndani yangu.
Kama yamekukuta kweli pole ila kabila lisitajwe kuwa chanzo...kama hayajakukuta kaa kimya usikae kushabikia eti wamarangu mara wamachame, hebu nenda katafute pesa huko utoke kwenye umasikini uache kuomba lifti za akina Mama Mushi na Mama Minja na Mama Nkya kila siku.
Nina uhakika hapa kuna watu wazima mlionizidi umri sana ila nimewazidi ubora wa mawazo mliyochangia.
Hata ukikaa milele ukitoa tangazo la roho mbaya za wachaga haitarudisha hao unaodai wamefariki we kama hutaki kuoa uchaggani tafuta kwingine sio unakaa kupiga kelele kutangaza ujuzi wa wenzio.
Natamani kuendelea ila nawahi kuwasilisha order ya kuku kwa Mama Kileo.
Lwaaro kusha moose

aisee ndenisa una jina kama la bibi yangu na mdogo wangu..

Waambie hawa haya maoni wangeyatoa kwenye mabaraza ya katiba ili yaingizwe kwenye katiba kabisa. Hapa wanatoa povu tu
 
Mtapigana na wachagga kwa kila jinsi hamtawashinda mtaangukia pua tuu mara Moshi iv mara wamachame vile sijui wakibosho umeamua kuja na kwa wamarangu malizia na wengine ufurahie mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom