Wanawake wa Kimarangu ni hatari

Wanawake wa Kimarangu ni hatari

Jamani me naomba mnipe habari za wakibosho nao vp au ni walewale?
Ukioa mwanamke wa kibosho, umeoa jembe! Hautakufa njaa, they are hard working... i admire them to death! Jamaa zangu wameoa wakibosho maisha yao ni full raha...
 
hizo ni hoja za uchochezi. hakuna kabila baya, bali mbaya ni mtu binafsi na nafsi yake.
kwani wewe mke wako au mume wako ni kabila gani??
 
wajameni hii post imeleta mtafaruku mkubwa kwa my best frnd kaoa mmarangu yuko Kawe, Dar, kanipigia, kampa onyo mke wake kwasbb aliziona dalili hizi pia ila baada ya kusoma hii post, nikamuuliza je mkewe kaiona, akaniambia no, ila baada ya kusoma hapa akampa onyo kali na akasema haya ni kweli kabisa na huwa yeye ana wasiwasi tangia mwanzo tabia za hawa wamarangu, ila
sasa yuko chonjo sana, nikamuuliza vipi kauli zake, akasema ana kauli laini, muumini mzuri kanisani ila kuna mara nyingi vitendo vyake vimemtisha maisha sana sana kuhusu pesa.
 
Mleta mada kafanye uchunguzi zaidi, kuliko uoe MACHAME bora uwe bado nipo nipo tuu!!! Maana hata wanaume wa machame hawaoi kwao, na ukienda Machame kila nyumba utakuta kaburi na ni la baba tuuu!!! Na inasadikika kuwa ukishachuma mali wanaua waume zao ili waweze kutawala mali na watoto wao tuu!! Hivi najiuliza hiyo mali unaenda nayo wapi? Si utakufa siku moja kama ulivyomuua mwenzio???? Mie sio mchaga lakini kila mtu anaogopa mwanamke wa Kimachame, kina Uf....s...ro, wadhulumuji sana.

Aisee!!
 
Kila siku wachaga, wana jf kuna kundi maalumu huku jf wapo kwa ajili ya kuendekeza chuki dhidi ya makabila, tumeshaona kila siku ni wale wale, sasa Mr. President naomba nikuoe wewe
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada kafanye uchunguzi zaidi, kuliko uoe MACHAME bora uwe bado nipo nipo tuu!!! Maana hata wanaume wa machame hawaoi kwao, na ukienda Machame kila nyumba utakuta kaburi na ni la baba tuuu!!! Na inasadikika kuwa ukishachuma mali wanaua waume zao ili
waweze kutawala mali na watoto wao tuu!! Hivi najiuliza hiyo mali unaenda nayo wapi? Si utakufa siku moja kama ulivyomuua mwenzio???? Mie sio mchaga lakini kila mtu anaogopa mwanamke wa Kimachame,
kina Uf....s...ro, wadhulumuji sana.

.Wamachame wao kuua waume ukishapata pesa LIKO WAZI KABISA, uko sahihi hata wamachame wanaume hawaoi kwao, hawa ni alshabab ukipata pesa wanakudedisha, ila sasa wamarangu usiombe, wako kama kimya kimya na watu wa imani hiv za dini huwezi dhania atakudedisha ukipata mshiko, unajua heri kumjua adui mapema kuliko kukaa na kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu.
 
Kila siku wachaga, wana jf kuna kundi maalumu huku jf wapo kwa ajili ya kuendekeza chuki dhidi ya makabila, tumeshaona kila siku ni wale wale, sasa Mr. President naomba nikuoe wewe

.ebu jadili mada, ukweli mchungu.
 
Last edited by a moderator:
Mi siyo mchaga ila haipiti siku bila kujadili wachaga, tatizo ni nini? Labda mnataka tunaowapenda wachaga tuwaoe nyie sasa

..sio TUNAWASEMA, tunaongea ukweli kabisa, mbona
wakibosho hatuwajadili, wapare, au mrombo au msiha? kwa sbb hawana element za kuwaua wanaume zao maisha yanapokuwa mazuri na kipato kuwa kikubwa, hawa ni danger ndugu yangu, ebu uliza tu utakuja hapa na kusema kumbe watu wengine tunaongea kwa umakini na kufanya research kabla ya kuongea. niamini #13Mega pixel. ulizia tu mbona ni bure kuwajua
 
Hamna hii ni too much, mtandao wa kuwachafua wachaga, baada ya hapa sijui watafatia wahaya malaya wazaramo wa limbwata:na vigodoro, au wakinga na uchawi, kupandikiza chuki angekuwa mtt wa kike hapo sawa tungesema labda kaibiwa bwana, wewe hutaki waolewe ili iweje?au dada zako hawajaolewa wanaolewa wachaga tuu?
 
Am proud to be a chagga girl MARANGU ndio asili yangu watasema tu watupake matope vyote tumebarikiwa akil, muonekano kilakitu nikupe siri upendeleo tumepewa "wachapakazi"hatutegemei yeyote mungu pekee kwa thread hii imefungua fursa za wengine kuvumbua dhahabu# watoto wakimarangu kkutafutwa@dili. Kwa ndambindambi mtabaki kusema hivyo hooooyaee ulele ulele uleee
 
just marry au kuwa na relation na one mmarangu, alafu save hii post, uje useme kwa usahihi, sbb wako watu matomaso sana hadi ufikwe na jambo ndio ulie, hutaki hata kuchunguza kidogo, ww ni tomaso, hawa ni dangerous kabisa

Hamna hii ni too much, mtandao wa kuwachafua wachaga, baada ya hapa sijui watafatia wahaya malaya wazaramo wa limbwata:na vigodoro, au wakinga na uchawi, kupandikiza chuki angekuwa mtt wa kike hapo sawa tungesema labda kaibiwa bwana, wewe hutaki waolewe ili iweje?au dada zako hawajaolewa wanaolewa wachaga tuu?
 
wajameni hii post imeleta mtafaruku mkubwa kwa my best frnd kaoa mmarangu yuko Kawe, Dar, kanipigia, kampa onyo mke wake kwasbb aliziona dalili hizi pia ila baada ya kusoma hii post, nikamuuliza je mkewe kaiona, akaniambia no, ila baada ya kusoma hapa akampa onyo kali na akasema haya ni kweli kabisa na huwa yeye ana wasiwasi tangia mwanzo tabia za hawa wamarangu, ila
sasa yuko chonjo sana, nikamuuliza vipi kauli zake, akasema ana kauli laini, muumini mzuri kanisani ila kuna mara nyingi vitendo vyake vimemtisha maisha sana sana kuhusu pesa.

jamaa yako ana yake ... pesa management ni muhimu aisee
 
Eeh Mods Funga Hii Kitu inanichefua!!. tumeshachoka kujadiliwa kila siku wachaga wachaga,tumekosa nini?!..wanaotujadili wose ni maisemboooo.....tena tondo kapisaaa!!

najivunia kuwa mchaga tena mmarangu...na namshukuru mungu!!.

Moteree...tere tere!.

"HAIKA RUWA UKO RUWEWU.,!" HAIKA SANA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom