Yo sella
Member
- Apr 2, 2020
- 55
- 92
Nina rafiki ambaye alimpa mimba msichana aliyekuwa akiishi naye kwa takribani miaka 3 hadi 4. Baadaye alipata kazi mbali na eneo walilokuwa wanaishi.
Alipofika kwenye eneo lake jipya la kazi, alianza uhusiano na mwanamke mwingine. Ingawa walikuwa kwenye uhusiano huo kwa muda mfupi tu, mwanamke huyo naye alipata ujauzito.
Tofauti ya muda kati ya ujauzito wa mwanamke wa kwanza na wa pili ni takribani miezi 2 hadi 3 tu. Lakini huyo mwanamke wa sasa hivi nahisi kuna namna anamuendesha sababu huyo mwanamke kamzidi jamaa yangu almost miaka 12 hvi jamaa anae 25 mama ina 37 ko ni parefu kinamna flan hivi.
Wote hawafahamu kitu chcochote juu ya uwepo wa mwenza ila yule aliyeishii nae muda mrefu ndo namuonea huruma kwasababu kuna muda ananishirikisha mipango yake juu ya rafiki yangu wakati mimi najua ukweli wote