Wanawake wa JF. . .who is hot, who is not.

Wanawake wa JF. . .who is hot, who is not.

He he he he, hivi nimechukuliwa na nani???
Keep talking . . .
Am listening . . .
Chochote chaweza tokea, huyu ni Drogba, Wyne Roones,Mesi, Ozil katika package moja.
:eek2:
Wengi tu, mara Asprin
 
Last edited by a moderator:
Nitaje tu usiogope mimi siwezi kuwa na bifu kwa mrembo kama wewe
Yummy, nikikusoma nakumbuka matangazo fulani ya kuku wa kupaka
"Yumyyyy, it is fingerlicking good". and it was sooo suggestive, very hot.
 
Last edited by a moderator:
Wifi hiyo itafanya watu waniogope humu. . .au hutaki nivutie zaidi ya kaka yako?

Asprin binafsi nasema Kongosho is hot. . .na huo uhot nilipoupimia wewe huwezi kufika ndo maana hujui.

Bishanga huyo laaziz unamuimagine au yupo kweli?
kajaa tele....hakuhuuu!
 
Eti kuna members wananiambia Lizzy ana sura kama ya Maria Mutola a.k.a. Bi kidude!
Kwendeni zenu nyie sijui mkoje!
 
Eti kuna members wananiambia Lizzy ana sura kama ya Maria Mutola a.k.a. Bi kidude!
Kwendeni zenu nyie sijui mkoje!

Hahahaha. . .hata hawajakudanganya Mungi. . .ila wana vimbelembele kweli.
 
Last edited by a moderator:
mie namkubali AfroDenzi..
Binti wa ukweli,ana maswagga ya kijanja,mnana,so hot ..
Kikubwa chochote anachopost unafeel amepost mtoto wa kike..


Ivi Gaijn yuko wapi sku izi??
Uyu nae nilipenda misimamo yake japo alikuwa ananiuzi
 
Kwa avatar siwafahamu but in ninaowafahamu aisee kuna wanne wako hot sana
 
Back
Top Bottom