Wanawake wa JF. . .who is hot, who is not.

Well this my top five list ya women/girls who are hot hapa..........in particular order
  1. Afrodenzi - She is cool na mara nyingi anachagua maneno ya kuongea na wapi pa kuongea, she is loving and she cares (u can see this when she posts those flowers and pictures kwenye birthdays za watu na matukio mbalimbali. The way she behaves hapa anaresemble avatar yake (Pretty with mind and not pretty dumb)
  2. kongosho - Ni machachari mdomoni lakini moyoni she is soo weak, this make a person who owns her kuwa na uhakika wa competition kuwa ndogo kwasababu watu watakuwa wanaogopa maneno yake. She cares and she can make you laugh hata ukiwa na stress na hasira
  3. Erotica - Huyu yuko very open and honest and most of the time she dares to dare. Hali yake ya kuwa wazi inamfanya awe mtu anayeweza kupunguza migogoro anapokuwa kwenye mahusiano kwasababu panapotokea kitu kimemkera atasema on the spot na maisha yanaendelea mbele.
  4. Lizzy - Huyu ni mwanaharakati mdomoni na kichwani lakini she can be a very good mother in heart. Mara zote yuko systematic na hapendi kuonewa hali inayopelekea baadhi ya hata wanaume kumwogopa. Kuna baadhi ya wanaume huvutiwa na wanawake wa namna hii, who dominates.
  5. Smile, Mwali - Hawa wamefungana kwenye nafasi ya tano kwani wana sifa zinazofanana. Hawafanani kwa sura wala umbo (wana picha zao so u can know them) ila tabia zao zinafanana kwa kiasi kikubwa, they play naive ambao wanataka kuongozwa nini cha kufanya kimsingi wako "submissive" wanaume wengi hupenda wanawake wa namna hii maana wanajua watakuwa na uwezo wa kuwacontrol

Hii ndio top five yangu ya hot women/girls on JF
 
1st namkubali sana AshaDii, kiukwel madam una element za mfalme suleiman. yawezekana una genetics za mfalme hyo!
2nd Lizzy, dada upo juu make we ni muwaz wala huogopi. yan jasir flan hv.
3rd@Preta, nakukubali sana short...
Smile, pia cjakusahau wangu. pokea malike ya kufa mtu.
Kongosho, mamie we nifungie dimba. so mwaaah!

Na Charminggirl naye nimemkubali sana...
 
Last edited by a moderator:
Kipipi embu mfagilie mama mchungaji kakondoo a.k.a kimodo.
 
Last edited by a moderator:
charmingirl, asante swir, you are deliciously hot.

M'Jr, ha ha ha, eti machachari, asante. Ngoja nikapime umachachari wangu lol
 
Last edited by a moderator:
Mmh kipipi umenionea wapi huo ublack beauty mie,anyway wewe pia uko hot humu jf arguement zako za kukata maini na changamoto i really appreciate.
 
Khaaaa. . . ni namna gani ya kuni-handle mimi Jr?
Nakuacha uongoze nikijua lazima utakuja tu kuomba ushauri so basically mi ndio ntakuwa naongoza kupitia kwako. Ukilazimisha kufanya nitakalokuonya ukafanikiwa ntakupongeza ukifail bado ntakupa a shoulder to cry on then ntakufuta machozi na kukupa moyo wa kuendelea
 
Kipipi embu mfagilie mama mchungaji kakondoo a.k.a kimodo.

dah........mama mchungaji is so sexy kwakweli! She got them 'eyes'.......lips za kupaka lipshine na swagga za kijanja! Aaiiiiiiii (hapa nimejing'ata kidole kizushi alafu nikakonyeza kwa kufumba jicho moja lol!)
 
Last edited by a moderator:
Mmh kipipi umenionea wapi huo ublack beauty mie,anyway wewe pia uko hot humu jf arguement zako za kukata maini na changamoto i really appreciate.

Matunda ya Mtambuzi yote nayakubali japo bado kuwaface to face, na dada yako Cantalisia (ana pozi za kichokozi huyoo na vipicha vyake, akikuangalia kama anakuita vile)
 
Last edited by a moderator:
Nakuacha uongoze nikijua lazima utakuja tu kuomba ushauri so basically mi ndio ntakuwa naongoza kupitia kwako. Ukilazimisha kufanya nitakalokuonya ukafanikiwa ntakupongeza ukifail bado ntakupa a shoulder to cry on then ntakufuta machozi na kukupa moyo wa kuendelea

Hehhehehhe M'Jr ... . .haya bana!!

Kipipi mama mchungaji kahongeka. . . kiepe wapi sasa?!
 
Last edited by a moderator:
Hivi mnachaguana kwa vigezo vya

Huyu namfahamu huwa tunachill na ku flirt Pm

Mbona walio hot ni wengi tu ..ha ha
:flypig:
 
Back
Top Bottom