Wanawake wa JF. . .who is hot, who is not.

Wanawake wa JF. . .who is hot, who is not.

im sexy n iknw it hahahaaaaa oooops naimba tuu sijakutana na mtu yeyote so mpaka nionane na mtu ndo ntasema
 
Haya walau mmewataja taja walio hot, now the question is Who is not hot?
 
He he he, kumbe unakumbuka?

Naona leo Bishanga anapoteza netiweki, msaidieni kwa kumpeleka kampuni yeyote ya IT.
Ahahaha. . . lazima aiseee. . .kama 'Sikujui hunijui. . . . .'


Hehehehehe atajijuuuuu.
 
Last edited by a moderator:
1st namkubali sana AshaDii, kiukwel madam una element za mfalme suleiman. yawezekana una genetics za mfalme hyo!
2nd Lizzy, dada upo juu make we ni muwaz wala huogopi. yan jasir flan hv.
3rd@Preta, nakukubali sana short...
Smile, pia cjakusahau wangu. pokea malike ya kufa mtu.
Kongosho, mamie we nifungie dimba. so mwaaah!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom