Wanawake wa JF. . .who is hot, who is not.

Hongera kwa kumaliza finals zako.

Lazima ukaanzie rombo kwanza ndio uje mjini, pale kuna saccoss, ntakupa namba ya :eek2:mrema:eek2: atasimamia.

Then, who is hot, lukewarm(ila hili neno linarandana na sardines), or cold?
Kongosho, nianzie Rombo nije mjini na mimi nimetokea mjini?We vipi bana lol!Ama unazungumzia mji gani?
 
Last edited by a moderator:
Hata kama umesomea Las Vegas, ukirudi TZ lazima ukaanzie Rombo
Pale ndio Ikweta ya Mchaga yeyote, tena wewe Mushi ndo Yerewiii laziima uende home kwanza(Accent ya kichaga pure)

Afu si unajua kuanzia kesho kutwa tunafunga shule? Nenda katoe shout outs kwa uatakaowamiss kule tangazoni.

Nimegraduate, so niko mtaani, hukunisoma pale kwenye "off cha chain"?lol!

Moshi mji wangu, warombo nawapokea mimi.
 
Kongosho, kuhusu wanawake humu, nasikia ushachukuliwa, watu wanaclaim.Things went faster than i thought!lol

Sasa mimi shida sijaona wengi humu,(wanawake) nyie mnajuana wengi wenu,najuwa kuna warembo humu, sijaona wengi, mmoja tu pengine,ama wawili plus Lizzy, ila kwa michango na sense of humour nakuaminia, kwanza miye ndo niligunduwa kipaji chako, bisha?lol!
 
JMushi uliniona wapi?

PS Konnie bado anachukulika. . .aliyenae kashazeeka.
 
Last edited by a moderator:
He he he he, hivi nimechukuliwa na nani???
Keep talking . . .
Am listening . . .
Chochote chaweza tokea, huyu ni Drogba, Wyne Roones,Mesi, Ozil katika package moja.
:eek2:

Back
Top Bottom