Salud!Tupo humu
Teh Teh kubeba tunabeba ila ndiyo mkikosewa heshima msilie sasaTena nyinyi wanawake mnaojitia vichwa vigumu ndio mtapata taabu za kubebeshwa majukumu ya wanaume hadi mkome.
Kwa kuongezea tu adabu +aibu demu ananoga sana,,😹😹😹😹😹 sema mwanamke akiwa na adabu inakuwa sexy sana! Sio janamke jeuri na bishi bishi
Hapo kwa baba na mume bado uko vizuriUsukumani hiyo, nakumbuka nikiwa mdogo nilipewa zawadi eti nilimpatia mgeni maji ya kunywa goti lipo chini na nikasubiri anywe amalize ndipo nikainuka,, enzi hizo nilipokuwa bado mjinga mjinga ila saiv aaah thubutuuuu weeee, namfanyia baba, na mume(japo hapendi)
Huko ondoa shaka kabisa, hadi mgongoni anabebwaHapo kwa baba na mume bado uko vizuri
Ukimheshimu mumeo hata sisi wanaume wenzake tutajiskia vizuri.
Una sehemu yako peponiHuko ondoa shaka kabisa, hadi mgongoni anabebwa
Shukrani sanaUna sehemu yako peponi
Mchuma janga hula na wa kwaoTeh Teh kubeba tunabeba ila ndiyo mkikosewa heshima msilie sasa
WaziiiKwa kuongezea tu adabu +aibu demu ananoga sana,,
Haina neno! Hata huyo mwingine utakayemuweka naye sharti ni hilo hilo timiza majukumu yako upewe heshima yako ukitaka akusaidie majukumu yako heshima itabidi ipungue hutaki toa talaka tafuta mwingine and the process continues!Mchuma janga hula na wa kwao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siyo kila mwanaume wa kupigiwa magoti! Wanaume hawa wa siku hizi wanaokimbia majukumu yao eti tusaidiane maisha hayo magoti mtayasikia akhera wanawake wengi siku hizi wamekuwa wajeuri kwa sababu wanaume wengi hawasimamii majukumu yao ipasavyo wanataka mke naye asaidie tatizo linaanzia hapo!
Wanawake wa Africa kazi ipo[emoji23][emoji23][emoji23]Haina neno! Hata huyo mwingine utakayemuweka naye sharti ni hilo hilo timiza majukumu yako upewe heshima yako ukitaka akusaidie majukumu yako heshima itabidi ipungue hutaki toa talaka tafuta mwingine and the process continues!
Huyo mwanamke wa kukusaidia majukumu yako na bado akuheshimu 100% kwa dunia ya sasa hayupo ukubali ukatae! Na siku hizi wanawake wengi hawababaishwi tena na ndoa wako tayari watukanwe na jamii kuliko kuukubali huo utumwa!
Hahahahahah baharia vipi huwezi kunipigia goti?Usukumani hiyo, nakumbuka nikiwa mdogo nilipewa zawadi eti nilimpatia mgeni maji ya kunywa goti lipo chini na nikasubiri anywe amalize ndipo nikainuka,, enzi hizo nilipokuwa bado mjinga mjinga ila saiv aaah thubutuuuu weeee, namfanyia baba, na mume(japo hapendi)
Ndio maana ndoa nyingi zinakwama kwa mawazo kama haya.Ikibidi kusaidia kama una uwezo wa kufanya,fanya bila kulalamika na utafurahia maishaSiyo kila mwanaume wa kupigiwa magoti! Wanaume hawa wa siku hizi wanaokimbia majukumu yao eti tusaidiane maisha hayo magoti mtayasikia akhera wanawake wengi siku hizi wamekuwa wajeuri kwa sababu wanaume wengi hawasimamii majukumu yao ipasavyo wanataka mke naye asaidie tatizo linaanzia hapo!
Makabila ya mkoa wa mbeya ndio zao ila heshima ya nje sio lazima ikawa kwa mume pia, mazoea ni adui wa adabu, upendo, utii na unyenyekevu.
Kupata mke kama wewe ni raha sana yani! Unakuwa na mke ana adabu hadi masela wakija shemeji shemeji hazikauki😅Huko ondoa shaka kabisa, hadi mgongoni anabebwa
Wewe kupona huu ugonjwa ni ngumu sana, we inaonekana partner wako humchukulii kama rafiki bali unamuona ni workhose tu!Siyo kila mwanaume wa kupigiwa magoti! Wanaume hawa wa siku hizi wanaokimbia majukumu yao eti tusaidiane maisha hayo magoti mtayasikia akhera wanawake wengi siku hizi wamekuwa wajeuri kwa sababu wanaume wengi hawasimamii majukumu yao ipasavyo wanataka mke naye asaidie tatizo linaanzia hapo!