Dead Man
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 709
- 830
Wapo Bariadi sehem moja inaitwa GAMBUSHI.
karibu
Unamaanisha huku.Wapo Bariadi sehem moja inaitwa GAMBUSHI.
karibu
Gambosi (Gamboshi) na Nadharia ya uchawi
Gamboshi/Gambosi na Nadharia ya uchawi. Kijiji cha Gambosi(Gamboshi) ni moja wapo ya kijiji ndani ya kata ya Gambosi wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu. Jina halisi la kijiji hicho ni Gambosi wala si Gamboshi kama wengi ambavyo hutamka hivyo kiuhalisia kijiji hicho si GAMBOSHI Bali ni GAMBOSI...