Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,413
kanda ya ziwa usukumani
😹😹😹😹😹 sema mwanamke akiwa na adabu inakuwa sexy sana! Sio janamke jeuri na bishi bishiAkienda kwa wajaluo,wanaume ndiyo hupiga goti.Kwa hiyo atakuwa kama anamuona "nkewe"?Wapi omelaaaa!?
Hao jeuri na mibishi ni kama dada zangu.Wana hofu na heshima kwa baba na mimi kaka yao tu.Mashemeji wana kazi.😹😹😹😹😹 sema mwanamke akiwa na adabu inakuwa sexy sana! Sio janamke jeuri na bishi bishi
Wakitiwa kwenye 18 watatulia usihofu! Dawa yao mimba tu 😂Hao jeuri na mibishi ni kama dada zangu.Wana hofu na heshima kwa baba na mimi kaka yao tu.Mashemeji wana kazi.
Hayo yamefanyika ila mashemeji wanalialia tu.Nacheeekaaa!Wakitiwa kwenye 18 watatulia usihofu! Dawa yao mimba tu 😂
Heeee ina maana wameolewa?Hayo yamefanyika ila mashemeji wanalialia tu.Nacheeekaaa!
Wote.Ila "jamaa" zangu ni kulialia kama fisi waliochoka.Huwa nawaambia wavumiliane.Asili za watu kuziondoa ni kazi.Heeee ina maana wameolewa?
Heeee ina maana wameolewa?
Dada zako kabila gani hao?Wote.Ila "jamaa" zangu ni kulialia kama fisi waliochoka.Huwa nawaambia wavumiliane.Asili za watu kuziondoa ni kazi.
Achana nao hao.Ni wananchi tu.Dada zako kabila gani hao?
Ni kweli Chifu, Wanawake wa kule full heshima.Wafipa wana adabu sana eeh?
Unacheka dada yako kumnyanyasa mwanaume mwenzako??Hayo yamefanyika ila mashemeji wanalialia tu.Nacheeekaaa!
Ni kweli Ni wafipa, wanajua kukaribisha Hadi wanakuimbia na nyimbo.Wafipa wana adabu sana eeh?
Hahaha, labda mamboleo MkuuRau Madukani kwa Mama Pendo muuza mbege
Unaishije naye Mkuu binafsi nisingeweza au na wewe umekulia mazingira ya hivyo bro?Hao ni wafipa mkuu, me Mke wangu ni mfipa na hizo ndio desturi zao, wife tangu nimuoe hajawahi kuacha kunipigia magoti kwa jambo lolote either nimeuita kuja kwangu au kuniletea kitu au kunikalibisha chakula.
Daaah hongera sana mkuuHao ni wafipa mkuu, me Mke wangu ni mfipa na hizo ndio desturi zao, wife tangu nimuoe hajawahi kuacha kunipigia magoti kwa jambo lolote either nimeuita kuja kwangu au kuniletea kitu au kunikalibisha chakula.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa ni watanzania kabisa au?...
Hapo sikupingi [emoji119][emoji119]Usukuman wapo wengi sana wao mwanaume anaheahimika sana ata kama ni mdogo kiumri.
Yupi mkuu???Tanzania Ni Tajiri
~~~~~~~~~~~~~~~~~
Yule Member Wa PM Akiona Hivyo Lazima Awahi
Haya yaliyosoma[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] sema mwanamke akiwa na adabu inakuwa sexy sana! Sio janamke jeuri na bishi bishi