Wanawake wa hivi wanapatikana mkoa gani?

Usomi wa kijinga siku hizi una haribu wanawake...
Mbona Chinese,Indians, Korean n.k wanasoma na still wanaishi kwenye mila zao...
Imagine mwanamke amesoma Sheria na ameajiriwa akifika nyumbani anakupigia goti...
Mwanamke ni askari akija kwako anakupigia goti na heshima kama zote, hapo ni ngumu sana ndoa kuvunjika..

Moja ya nguzo imara katika ndoa ni kumheshimu mwanaume... Tusijiulize sana kwa nini wazazi wetu wali last longer kwenye ndoa zao...

Hapa kuna vidada vitakuja kunipinga eti ni mfumo dume... Mtakaa sana benchi🤣🤣🤣, ukimheshimu mwanaume na bado anakuzingua huyo shoga kimbia...🤣🤣🤣
 
Usomi wa ki$3ng3 siku hizi una haribu wanawake...
Mbona Chinese,Indians, Korean n.k wanasoma na still wanaishi kwenye mila zao...
Imagine mwanamke amesoma Sheria na ameajiriwa akifika nyumbani anakupigia goti...
Mwanamke ni askari akija kwako anakupigia goti na heshima kama zote, hapo ni ngumu sana ndoa kuvunjika..

Moja ya nguzo imara katika ndoa ni kumheshimu mwanaume... Tusijiulize sana kwa nini wazazi wetu wali last longer kwenye ndoa zao...

Hapa kuna vidada vi$3ng3 vitakuja kunipinga eti ni mfumo dume... Mtakaa sana benchi🤣🤣🤣, ukimheshimu mwanaume na bado anakuzingua huyo shoga kimbia...🤣🤣🤣
Elimu za kuletewa ni mbaya. Mfano japan miaka 3 ya mwanzo shule mtoto anafundishwa maadili na jinsi ya kujitemea ndio maana wao kwenye swala la heshima bado wapo vizur kama walivyokuwa wanaishi miaka hio huko nyuma
 
Hao ni wafipa mkuu, me Mke wangu ni mfipa na hizo ndio desturi zao, wife tangu nimuoe hajawahi kuacha kunipigia magoti kwa jambo lolote either nimeuita kuja kwangu au kuniletea kitu au kunikalibisha chakula.
Huyo atakuwa hana hata certificate ya kubahatisha
 
Elimu za kuletewa ni mbaya. Mfano japan miaka 3 ya mwanzo shule mtoto anafundishwa maadili na jinsi ya kujitemea ndio maana wao kwenye swala la heshima bado wapo vizur kama walivyokuwa wanaishi miaka hio huko nyuma
Sure mkuu, Japanese huwa nasikia Wana heshima mno...
Safi sana...
 
Usomi wa ki$3ng3 siku hizi una haribu wanawake...
Mbona Chinese,Indians, Korean n.k wanasoma na still wanaishi kwenye mila zao...
Imagine mwanamke amesoma Sheria na ameajiriwa akifika nyumbani anakupigia goti...
Mwanamke ni askari akija kwako anakupigia goti na heshima kama zote, hapo ni ngumu sana ndoa kuvunjika..

Moja ya nguzo imara katika ndoa ni kumheshimu mwanaume... Tusijiulize sana kwa nini wazazi wetu wali last longer kwenye ndoa zao...

Hapa kuna vidada vi$3ng3 vitakuja kunipinga eti ni mfumo dume... Mtakaa sana benchi[emoji1787][emoji1787][emoji1787], ukimheshimu mwanaume na bado anakuzingua huyo shoga kimbia...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Siyo kila mwanaume wa kupigiwa magoti! Wanaume hawa wa siku hizi wanaokimbia majukumu yao eti tusaidiane maisha hayo magoti mtayasikia akhera wanawake wengi siku hizi wamekuwa wajeuri kwa sababu wanaume wengi hawasimamii majukumu yao ipasavyo wanataka mke naye asaidie tatizo linaanzia hapo!
 
Tena nyinyi wanawake mnaojitia vichwa vigumu ndio mtapata taabu za kubebeshwa majukumu ya wanaume hadi mkome.
 
Back
Top Bottom