Wanawake wa hivi wanapatikana mkoa gani?

Wanawake wa hivi wanapatikana mkoa gani?

Ninyi mbona partners wenu mnawachukulia kama housegirls tu? Hivi mbona wanaume kwenu mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu mchungu aisee mkoje ninyi viumbe?
No wanawake zetu wapenzi
 
Afu hawa slay queens wa mujini nimuachie nani? Acheni utani nyie
 
Niikuwa na Housemaid toka Uganda ,alikuwa na tabia hii ya kupinga goti,
 
Mzee hao ni Symbian version zao hazipo tena, tunao hawa wa Android
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Usomi wa kijinga siku hizi una haribu wanawake...
Mbona Chinese,Indians, Korean n.k wanasoma na still wanaishi kwenye mila zao...
Imagine mwanamke amesoma Sheria na ameajiriwa akifika nyumbani anakupigia goti...
Mwanamke ni askari akija kwako anakupigia goti na heshima kama zote, hapo ni ngumu sana ndoa kuvunjika..

Moja ya nguzo imara katika ndoa ni kumheshimu mwanaume... Tusijiulize sana kwa nini wazazi wetu wali last longer kwenye ndoa zao...

Hapa kuna vidada vitakuja kunipinga eti ni mfumo dume... Mtakaa sana benchi🤣🤣🤣, ukimheshimu mwanaume na bado anakuzingua huyo shoga kimbia...🤣🤣🤣
Watu wanashindwa kuelewa .. kitu cha kwanza ni Respect (heshima) kisha upendo/mapenzi ndio hufuata..

Hakuna mwanamke atakaye kudharau na akakupenda au kuvutiwa kimapenzi na wewe
 
Mzee hao ni Symbian version zao hazipo tena, tunao hawa wa Android
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahah, umenikumbusha symbian S60, Nokia yangu 7650
 
Back
Top Bottom